Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti.
Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii...
SISI NYUKI TUNASEMA, TUPO NA MALKIA WETU
1. Sisi ni nyuki wakali,
Imara tumesimama
Kwa dhati pia ukweli,
Tutamsaidia mama
Tuko ngangari kamili,
Kuipa nchi heshima
Sisi...
Hivi mwandishi ama mchangiaji wa mada anaweza kutumia 'inbuild feature" iliyopo hapa jukwani kuandika maandishi yake kwa ""bold text eg. 𝗣𝗹𝗲𝗮𝘀𝗲 𝗻𝗼𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗮𝘁" ama "italic text eg. 𝑷𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒏𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒉𝒂𝒕"...
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo...
Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi...
Salaam JF,
Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus"
Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya...
Kama walivyo waendesha vyombo vya moto huwa na majina rasmi mfano:
Muendesha ndege ni Rubani
Muendesha gari ni Dereva
Muendesha meli ni Nahodha
Je muendesha treni au garimoshi anaitwa nani?
Habari...
Yawezekana nisieleweke hapo juu kwenye heading lakini vyovyote utakavyoiweka sawa tu ilimradi utanielewa kwenye maelezo
Unakuta neno la Kiingereza linakuwa na tafsiri (definition)...
Nimekuwa nalitumia, kusikia sana msemo huu "CHAMTEMA KUNI" kwa muda mrefu sasa katika maisha yangu ya kila siku. Najua kuna maneno yanatumika kwa maana hiyo hiyo kama vile; kilichomtoa kanga...
Nimepewa taarifa na mjukuu'angu mmoja ya kwamba kuna uharibifu mkubwa sana wa lugha yetu ya kiswahili humu jamvini. Kwa hiyo nimekuja hapa kuwa adhibu wale wote wanaoharibu lugha yetu takatifu...
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga?
Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali...
Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake.
"Kumkoma nyani giladi"
Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
Mnamo mwaka 1995 hivi, palikuwa na uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania. Uchaguzi ule ulikuwa na ushindani. Nyakati hizo, runinga ndio zinaingia Tanzania-bara. Palikuwa ni...
Wanajamvi salam!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Na mtoto wangu anasoma darasa la pili sasa kuna kazi wamepewa yakuandika maneno ya kiswahili yenye maana yanayo anziwa na Mwa, mwe, mwi, mwo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.