Kwa nilivyosikia mimi neno shikamoo maana yake ni "niko chini ya miguu yako.
Pia nimesikia hilo neno ni la kitumwa na lilikuwa linatumiwa na watumwa kuwaonyesha heshima wakuu wao.
Kuna baadhi...
kwanini?
Lugha ya kijerumani ni lugha yenye herufi sawa na za kiswahili kasoro chache tu na hazifiki 5.
Hakuna kitamkwa kilichopo katika lugha ya Kijerumani ambacho hakipatikani katika kiswahili...
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanaondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
#Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono.
Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano.
Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano.
Kwa maandishi Ambatano, na hoja...
Habari wana JF
Mneno mengi yenye mwitikio has yanaanza na 'si', mfano sitaki, sipendi, sijui nk. Lakini neno sijambo ni positive acknowledgement, kwanini tusiitikie 'nijambo'?
Hebu tupeane...
Ukikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy.
Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.
Jamani naomba kuuliza wahenga kuna anayestuka hata mmoja anapolisikia au kulisoma jina hili la TEKELO? na kama wapo na wanajua habari zake basi
watufahamishe ni nani na historia yake ikoje,asanteni.
Hodi hodi naingia, uwanjani kwa kishindo
Ubaraza naufagia, machafu kuweka kando
Watu wote shangilia, taratibu ndio mwendo
Tumeyachoka makato, na gharama za mabando
Piga makofi mengi kwa mshairi...
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati...
"Kunyambuka" inawezekana likawa siyo geni kwako mwanabodi, lakini Mimi kwangu ni geni .naomba ufafanuzi ndugu wataalamu wa lugha na msamiati wa Kiswahili.
Kunyambuka nyambuka, ndiyo kufanyaje...
Wadau wa lugha,
Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe.
kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary...
Wakuu salaam,
Katika kuendelea kukumbushana vipengele mbalimbali vya lugha katika somo hili tutaangalia Mofimu na Viambishi huku tukipitia dhana ya mzizi na shina. katika andiko hili tutaanza...
(1) All the hell broke loose-the occurance of sudden noises,fighting,arguments,etc
(2)Leave no stone unturned-doing what you can do to achieve something you want
(3) Kick the bucket-die...
Salaam Wakuu,
Leo tuendelee kujikumbushia masuala mbalimbali yanayohusu lugha. Baada ya kuangalia maana ya Virai na aina zake katika somo lililopita (Soma: Fahamu zaidi kuhusu Virai, muundo na...
Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k
Na...