Wapendwa husikeni na kichwa cha habari hapo juu.
Wadau Naombeni Maoni Yenu Kuhusu Msemo Huu"Kama Mwanadamu Sijakamilika ila Kibinadamu Nimeumbiwa Makosa"
Karibuni kwa michango
Kiukwel tangu zama za baiskeli za Phoenix hadi leo kwenye browser ya Phoenix nilikuwa bado natamka "foneksi" badala ya "finaksi" au "fineksi" kwa baadhi ya watumiaji wengine wa English.
Na...
Masalkheri?
Kwa walio wahi kusoma shairi/mashairi nafikiri neno diwani sio geni, Ningependa kufahamu maana na asili ya hilo neno kama litumikavyo kwenye shairi.
Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa.
Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au...
Msimbazi qwota ni wapi?
Shira ni nini?
Miwala ni nini?
Mbona shira ya Zanzibar inasifiwa?
Napenda saana nyimbo za Tanzania lakini kiswahili wakati mwingine balaa ...nsaidieni mi ni mkenya na...
Washwahili wengi hatujui matumizi ya "which" na "that" katika kiingereza. Kwa vile maneno hayo yanaweza kuwa na maana moja katika kiswahili, basi huwa tunependa sana kutumia "which" hata mahala...
Hapo vip!!
Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu
mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"
Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya...
Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma...
Historia
Karamojong ni miongoni mwa Makala yanayopatikana kusini mwa mkoa wa Karamoja nchini Uganda katika ukanda wa kaskazini mashariki karibu na Mrima Moroto, Kidepo valley national park na...
Stakeholders how are things here, all right, ok. My brothers and sisters, I have a problem with only five thousand and I need it, I have nothing, there is a problem and I have nothing at all...
Ripoti maalumu ya wakfu wa the World Linguistic Society imeitaja Uganda kama nchi kinara kwa kuzungumza Kiingereza fasaha Barani Afrika. Ripoti wakfu huo inazitaja nchi nyingine kuwa ni Zambia na...
Waheshimiwa habari za mihangaiko ya siku!
Ni matumaini yangu kuwa mko powa na wale wenye matatizo ya hapa na pale nawaombea kwa MUNGU awapitishe salama katika hali hiyo.
Nimekuwa nikisikia huu...