¡Holla! E ai galera, tudo bem? . Natafuta mtu / watu wa kuwasiliana naye / nao kwa kutumia lugha hizo hapo mbili kama sehemu ya kujifunza.
Kama upo tayari naomba tujulishane na tujadili ni njia...
Wataalam!
Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana!
Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo?
Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa...
Hoja yangu ni fupi. Tunaelewa bidii kubwa inafanyika kiswahili kijitosheleze kwa misamiat kadri dunia inavyozalisha vitu vipya. Lakin naona baraza la kiswahili wanatumia njia moja zaid ya kutohoa...
Kuna kauli au msemo potofu iliyoota mizizi kwa miaka kadhaa isemayo; "Akili za kuambiwa changanya na zako".
Hivi toka lini mtu akaambiwa akili? Katika hali ya kawaida mtu huwa anaambiwa maneno au...
Wadau nimekua nikiuliza maswali kwa watu mbali mbali juu ya ubaharia.sijui ni kazi ya namna gani,wana majukumu gani,wanasomea wapi na pia wanalipwa nini!?wajuzi wa mambo tujuzane maana kila mtu...
Pisi kali lina trend sana sasa hivi. Nini hasa maana yake? Mwanamke mzuri? Huenda kila mtu anaelewa kivyake.
Ingawa kuna wadada wanajiita na kujisifu kuwa wao ni Pisi kali, kuna wengine wanaona...
Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana
Kirombo
Kimarangu
Ki-uru
Kikibosho
Kimachame
Kisanya
Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua...
Salaaam, salaam!
Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.
Nije...
Fill in the blanks with the correct form of the verb “need.”
What _______ he _________ ?
He ________ a pencil.
______ you ________ any help?
I ________ ________ this. (negative)
Who _________...
Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.
1. Mchirizi (Mfereji)
2. Umenifahamu? (Umenielewa)
3. Markiti (Sokoni).
Edits, from posts in this thread:
4. Skuli (shule)...
Kama tujuavyo, Kiswahili husifiwa kama lugha ya rasmi ya Tanzania. Lakini kabla ya kusanifishwa, Kiswahili kilikuwa kimeandikwa kwenye herufi ya Kiarabu kwa muda mrefu sana. Naomba kuwauliza ninyi...
Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini.
kwa mfano Ugali
Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo...
Waandishi wa Vitabu naombeni Mnielekeze
Nimeandika kitabu cha English Grammar kwa kushirikiana na Maprofessor wa will wa lugha hapo UDSM na Phd holder flan wa chuo cha Havard ambaye nilimuomba...
Wadau hii hali inanikuta nikitaka kutema yai sijui kwa nini tena nikiwa kwenye kadamnasi napata ubaridi zaidi. Msaada jamani naaibika mwenzenu.
** Tena nikiona mademu ndo jasho linanitoka mwili...
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?
Napenda tufanye challenge kidogo ili kuboresha uwezo wetu wa kiingereza.
Sentensi hizi ukitaka kuzipeleka kwa lugha ya kiingereza Zinakuwaje:
1. KAMA...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale...