I am well experienced in editing different English Manuscripts for all kind of genres. My price is relatively affordable. For any interested author please mail me in tatamkuria@gmail.com
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera...
Wanajamii tujikumbushe baadhi ya misemo ambayo zamani ilikuwa kwenye chati na sasa haitumiki tena..
Kwa mfano nakumbuka misemo kama kuachwa kwenye mataa, Viatu vya Ndula, lakuchumpa n.k, Pia...
Wakuu nawasalimu.
Mimi ni mchaga niliyezaliwa na kukulia nje ya mkoa wa Kilimanjaro ambapo sikuwa na fursa ya kujifunza lugha ya kichaga.
Nimejaribu kuangalia resources mbalimbali kwenye mtandao...
Mambo vipi wakuu!
Siku za hivi karibuni nilimsikia mtangazaji mmoja wa radio flani akizungumzia chuo flani huko mkoani Kilimanjaro. Neno alilokuwa akitumia ni "hiko" (tofauti na wengine niliozoea...
Ndugu mabaharia na maharia, kama title inavosomekahapo juu, hilo neno kwangu limekuwa ni kitendewili sana hasa ninapokuwa nachati na marafiki wakike.
Unakuta unamsalimia anakujibu, halafu baada...
Hello, am a English Lerner (both wirting and speaking),
I need a teacher who will guide me and talking to me through the phone at least one hour per day, then I pay in according to how will make...
Nawasalimu wana jf, leo nimekuja na hii dhana ya Ushairi kwa mujibu wa
Sheikh Amri Abed Kaluta:
"shairi ni wimbo hivyo kama shairi haliimbiki shairi hilo halina maana"
Je, dhana hii bado ina...
Nimekutana na kifupisho hicho kwenye matumizi ya mazungumzo katika mitandao mara nyingi ila nimechemka kufahamu maana yake, naomba wajuzi wa kudadavua mnisaidie maana yake.
Hakika Haya maneno yananisumbua kuyaelezea kwa tafsiri sahihi.
Naishia kusema tu mtu ni binadamu na binadamu ni Mtu.
Karibuni wataharamu wa lugha. Munisaidie Kunipa tofauti Ya haya Maneno...
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?
Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema...
Wakuu, nmekuwa nikisoma hapa JF, mara nyingi tu huu msemo kuwa "" nasema uongo ndugu zangu?"....
Naomba kufaham msemo huu ulitokea wapi na ni nani mwasisi wake, huwa unatumika katika mzingira...
Habari jf najua humu kuna wataaramu wa kuongea english bila kubabaika naomba mnijuze njia ninazoweza kuzitumia kujifunza bila kuwepo mwalimu
Maana nina ndoto za kuwa wa kimataifa