Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY.
Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana...
Maana ya regime ni nini? je, neno regime lina maana sawa na government?
Niliwasikia wajumbe wa kamati mojawapo ya European Union wakisema Tanzania kuna regime ambao alipewa hela za covid-19...
Wakuu,
Wasafi FM wanatangazo la kutuhimiza kwenda kupiga KURA. Ajabu kabisa hata waliolitengeneza hilo tangazo wameona mtangazaji yupo sasa kusema tukapige KULA tena kwa msisitizo.
Aibu.
Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa:
a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu
1. Kuswali
Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso...
Meaning of a word "TE AMO"
Te amo is Spanish word which means "LOVE YOU". Rihana used this word on her song Te amo to means Love you.
Brought to you by DON NALIMISON.
Salaam wana jukwaa. Ama baada ya salaam leo katika jukwaa hili la lugha tutaongelea kuhusu lugha yetu adhimu ya Kiswahili ambayo inaendelea kukua siku baada ya siku.
Katika lugha yetu hii ya...
Nilikutana na maneno yafuatayo.
i. Kama ndoto yako haijatimia endelea kulala.
ii. We lala si tufanye kazi utakula ulichokiota.
Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya...
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014.
Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
God and religion
2328. Abadani: mungu huijua. SPK.
'Never', only God knows that.
2328a. Abiria kwanza, thumma swifu mungu. SPK.
Cross the river first, then praise God. It is not good praising a...
Wakuu,
Inawezekana ikaonekana swali la kawaida sana lakini nahitaji nipate hitimisho la uhakika kuhusu swali hili.
Namba arobaini(40) kwa kiingereza sanifu inaandikwaje
Je ni 'Fourty' au Forty...
Hi wana jf, naomba kuelimishwa maana kuna Usemi huu "Mungu si Athuman"siuelewi. Watu wanatumia huu usemi wanapofanikiwa ktk jambo flani ambalo hawakutalajia au kuwa na uhakika nalo.
Huyu Athuman...
HELP YOURSELF OR CHILD (REN) TO MASTER PREPOSITIONS ATTACHED TO CERTAIN WORDS:
1.abide..............by
2.absorbed....... In
3.abstain ......from
4.Accomplice......with
5.accused...... (Sb)of(sth)...
Habari za asubuhi wana JF?
Kumekuwa na tatizo la kiuandishi kwa watu wengi kuanzia humu JF mpaka kwingineko kote kwenye mitandao ya kijamii mwanzo nilidhani ni kujisahau lakini sasa naona kama...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Natamani Sana kuijua hiyo lugha
Anaefaham wapi nitapata mwalimu kwa hapa Tanzania tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.