1.abide..............by
2.absorbed....... In
3.abstain ......from
4.Accomplice......with
5.accused...... (Sb)of(sth)
6.accustomed..... To
7.addicted........ To
8.adhere........ To...
Habari kwenu
ningependa tujikumbushe baadhi ya misemo iliyopata umaarufu hivi karibuni na kupotea
mfano msemo wa sipendagi ujinga mimi
watapata tabu sana
mambo ni???? motooooo kila kitu balaa...
Jamani,
Hawa wadau wetu wa lugha pendwa ya kiswahili wanatuchanganya, TBC1 siku zote matukio ya moja kwa moja wanaandika Mbashara wakati ITV wao wanaandika Mubashara, kwa anayeelewa hili neno...
Habari
Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi...
Maranyingi naona watu wanatumia hili neno 'Wahenga' hasa wanapotaka kutumia misemo yenye Busara.
Je Wahenga ni akina Chifu Mangungo au Mkwawa?
Au ni akina Nyerere au Sokoine?
Na kwa nini...
Nikiwa darasa la Sita nilisoma riwaya hii, wakati huo dadangu alikuwa form one Msalato Girls school - nilipata nafasi ya kumhadithia yote, na nilimsisitiza mno pale Rosa alipoanza kulewa na...
Hii english imekaaje pale mtumiaji anapomaanisha "ili kurahisisha biashara "ila kwa english akasema "in order to easy business " ipo sahihi hasa kwa lugha ya kiuchumi au kidiplomasia?
Kumekuwa na mtazamo hasi ya kuwa " mtu asipojua Kuongea vizuri kiingereza basi watu wanamcheka na kumuona mjinga ata kama mtu uyo ni msomi sana ( daktari n.k ).
Mimi naona tunakosea sana, Kujua...
Kama inavosomeka hapo juu kwenye pitapita zangu za kusaka maarifa ya kidunia nimekutana na maneno hayo mawili yakionesha utofauti mkubwa.
Katika utofauti wa hayo maneno walienda mbali zaid na...
The use of the word "MAN" simply implies to Humans, Human beings , Human creation (both men and women collectively in regard to creation. That is what i undersstand, but it has come to my...
Watanzania walio wengi bado imekuwa vigumu kwao ktamka neno "kura" badala yake wanatamka "kula" na hivyo kupelekea kupoteza maana nzima iliyokusudiwa.
Tafadhali tusiharibu maana ya KURA. Ni KURA...
Dear all,
Be invited to read and comment to this open letter
Reference to be made to the heading above,
For a while, it has been noted the need of reviewing our language policy through a...
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na...
Hippopotomonstrosesquipedaliophobia
Najua hujalimaliza kusoma![emoji1]
Hilo neno linatumika kuelezea tabia ya mtu kuogopa maandishi marefu.
(Uoga wa maandishi marefu)
Neno...
Ingawaji mimi sio msomaji sana wa kamusi ila leo matumizi ya neno "demu"mtaani yamenisukuma kuangalia maana ya neno demu kwenye kamusi.
Nimekuwa nikisikia mara nyingi wanaume/wavulana wakutumia...
Wasalaam wanabodi, dhumuni la uzi huu ni kueleza kero yangu kwa watangazaji ea kizazi hiki, kero zipo nyingi ila kwa leo ni haka katabia ka kuchomekea vimaneno vya kiingereza kwenye mazungumzo...
Habari wanajamvi, Ongereni kwa kazi za kila siku.
Binafsi umri wangu umesonga kidogo (50s) sasa. Kwa ufupi ni kwamba, nimejitahidi sana sana kuwa mwaminifu katika maisha yangu ya ndoa na sasa...
Neno utopolo limekua maarufu Sana kwa siku za hivi karibuni likimaanisha kitu kisicho imara(dhaifu).
Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuibatiza club ya yanga jina Hilo.
Napendekeza neno utopolo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.