Habari wa JamiiForum.
Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto, vijana, wazazi na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka...
Mkirusha matukio live mnaandika Mbashara hiki kiswahili cha wapi? Hili neno linaandikwa Mubashara msituletee mambo ya kihuni kama wale wapuuzi wanaotumia "X" badala ya "S", kuandika "hile" badala...
Kiswahili hakijaenea leo wala jana kuingia Bara na sehemu nyingi za Afrika kwa ukubwa kiswahili kilienea karne ya 20 (Wakati wa wakoloni hasa waingereza na wengineo).
> Shughuli za kiuchumi hasa...
Wakuu,
kwa members wanaoishi Dodoma naomba kupewa taarifa Kama Kuna English club inayotoa fursa ya kujifunza na namna ya kuitumia lugha ya kingereza hapo Dodoma mjini.
Natanguliza shukrani zangu
Greetings to all,
Early Next week I will be relocating to Dodoma City, hereby requesting your support.
I'm a public servant who had an exposure to visit English speaking country in East Africa...
Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo?
Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
Kila nywele ina jina kutokana na sehemu...
Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari
Hii inaitwa Number plate
Yani kibao cha namba,
Kusema plate number ni sawa nakusema
Here come, badala ya come here au...
Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi.
Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?
Mimi ni mmoja kati ya wale wanaoamini kwamba neno BOMA ni neno la kiswahili na ni nyumba zilizojengwa kwa kuzunguka kama uzio hivi. Nimekutana na mzee mmoja wa zamani akaniambia kwamba neno BOMA...
Niaje niaje wakurungwaaaaaaa......aisee mi nataka kujua hivi kile kiingereza cha yule profesa wa sheria wa kenya PLO LUMUMBA ni kiingereza.
chenye asili ya wapi maana misamiati mingi hata ukisema...
WASO NA MAONO,WATAWACHAGUA
Naam
Haina ubishi,hao
Wasojitambua
Wasojielewa
Waso na maono.
Tuseme tu
Ndio wao,viherere
Barabarani,na vikengele
Vigelele,wapiga makofi
Tutawachagua.
Tena
Kwa mara...
Kwa wale wenye maneno yoyote ya Kihispaniola unatupia hapa
Me naanza na haya usisahau kuweka maana yake kwa kingereza au kiswahili ili watu waweze angalau kuondoka na kitu.
Lengo haswa ni ili...
Salama wadau.
Nianze moja kwa moja kuleta kwenu swali ili kupata ufafanuzi. Kipindi hiki cha joto la uchaguzi kumetokeza majina na maneno mengine ambayo hatuyaelewi wengine. Hili sijui jina au...
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:
"A" hutumika kutambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.