Habari za muda huu wana jamvi, Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia neno MKATA UMEME likitumika katika mazingira tofauti hasa katika upande wa mpira wa miguu, limekua likitumika kwa mchezaji...
Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo.
Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea...
Kuandika makala ni weledi lakini pia ni kipaji. Mwandishi mzuri ni yule 1. anayefanikiwa kumfanya msomaji aischoke kusoma makala zake 2. Makala zake zinakuwa na mantiki na hoja. Sifa zote hizi...
Habari wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nina tatizo kubwa la kuongea Kiingereza. Nimekuwa nikipoteza fursa nyingi kwa sababu ya kushindwa kuwa fluent kwenye kuongea English...
Imezoeleka sasa kwa viongozi wengi kutuita wanyonge. Lakini kwa nini watumie neno hili?
Kwangu napata majibu yafuatayo:
1. Unyonge ni hali ya mtu kushindwa kujitetea hata kama anaporwa haki...
Nina hoja naleta kwenu tuijadili.
Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi.
Mifano hai ni...
Hivi kuchanganya kiswahili na kingeleza Tanzania tunafeli wapi huyu Alie Andika kwenye jengo hili vipi jengo la CCM Dodoma la Uchaguzi (UCHAGUZI HOUSE) neno UCHAGUZI halina Kiingereza au neno...
BADO NAENDELEA KUSISTIZA UMUHIMU WA KIINGEREZA KWA MKUU WA NCHI,NAOMBA CHUKUA MUDA SIKILIZA CLIPS HIZI ZA BINGWA WA KIINGEREZA ACCORDING TO JK BW MKAPA
INTERVIEW WITH CAPITAL TALK
MKAPA ON...
Katika kila fani kuna misingi kumi inayo fanya fani fulani iwe fani, katika misingu hiyo leo baangazia juu ya msingi mmoja ambao husomeka hivi "Kumjua yule wa mwanzo katika fani husika"
Kila somo...
Napenda kujua tafsiri ya msamiati Asasi. Mara nyingi nimesikia wakisema Asasi ya Kiraia lakini Asasi ni nini sijajua bado.
Naomba kufahamishwa, I'm deep
[emoji120][emoji120][emoji120]
Question tags, ni maswali mafupi mwisho wa sentensi. Tunatumia question tags pale ambapo tunategemea msikilizaji au msomaji kukubaliana na maelezo yetu. Mfano isn't it?, can you? wasn't it? Have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.