Vitate, Vitawe na Visawe
VITATE, VITAWE NA VISAWE
Kitengo
Msamiati
MASOMO
Prev
N/A
Next
Tarakimu
Baadhi ya maneno ya Kiswahili yanaweza kuwa na maana sawa, maana zaidi ya moja au...
Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
Habari wanaJF,
Naombeni msaada nawezaje kujifunza kingereza cha kuongea japo nina idea nacho kidogo ila kwenye kuongea ndo shida.
Nitumie njia gani ili niweze kuongea vizuri.
Salaam kwenu wana Great thinker.
Kwa mara nyingine tena najitokeza kwenu kuwaomba mnisaidie kujua ni kitabu gani cha Sarufi ya kiingereza au kwa lugha nyingine tunaita English Gramer, ambacho...
Nchi nyingi zilizoendelea Elimu zao hutowa kwa kutumia Lugha mama ya kwao, Mfano Urusi Vyuo vingi wanatumia kufundishia kwa Kirusi.
Hii ina maana ya kuwa Lugha ni nyenzo muhimu kwenye kukuza...
C&P
UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfo. Hassain Klilo wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney...
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno...
TPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na...
Wakuu,
Nilijifunza Kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.
Tuliowahi kujifunza hii...
Naomba kufahamu jinsi ya kutumia maneno yafuatayo:
- pesa
- hela
Mf: Alimpa pesa au alimpa hela
- ndivo ilivo au ndivyo ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikimsikia mara kwa mara mmoja wa Mwana redio anayeitwa au kujiita Mbwiga, huyu bwana amekuwa na misemo tofauti tofauti kila anapopata nafasi ya kuzungumza redioni.
Na mingi ya hiyo...
Kitu ambacho nakifuruhia ninaposikiliza maneno/hotuba za wanasiasa hapa nchini ni matumizi yao ya lugha hasa pale wanapounda maneno mapya na tungo/virai ambazo zinasimama kama utambulisho wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.