Habari zenu. Ukiachana na neno KIFO na USINGIZI FOFOFO, je ni neno gani lingine la kiswahili linaloishia na irabu FO? Kwa yeyote anayefahamu tafadhali.
TUNGO HURU SI SHAIRI
Msiojua kutunga, leo nawapa salamu
Tungo mnazozitunga, siyo tungo mfahamu
Mnapaswa kujipanga, na mtunge kwa nidhamu
Leo naimwaga mboga, tungo huru si shairi.
Mashairi bila...
Duniani kuna lugha mbalimbali zinzotumika kama mawasikiano,swali langu je ni lugha ipi ni ngumu kujifunza, kuielewa au hata kutamka tuanzie hapa east africa....lakini kama una ufaham zaidi...
Kuna tangazo mnalolirusha mara kwa mara, katika tangazo hilo inasikika sauti inayoisifia utendajikazi redio yenu, binafsi hata mimi ni msikilizaji wa redio yenu.
Ila kwenye hilo tangazo...
```UBUKUMI NI IKI?
Ubukumi ni igihe c’agaciro kanini mu buzima bw’umukobwa, ariko umukobwa atihaye agaciro mugihe c’ubukumi bwiwe agereranywa n’akazu ka sugumwe rusangi kuko uwo ari we wese afise...
Naomba mwenye kufahamu kiswahili ni lugha ngapi kwa ukubwa wa wazungumzaji duniani. Je, kwenye lugha 10 ipo?
Naomba source ya kuaminika (ranking)
Maana mkuu katika hotuba yake fulani inayorudiwa...
Tangazo linalohusu lishe kinga ya COVID 19 linakasoro, siku zote SUKARI ni sukari na haitaweza kuwa "Sukali", ni aibu na zaidi kwa ITV kutong'amua kosa hilo kwa siku nyingi.
Wadau...wakati janga la Covid 19 likiendelea , nikiwa bado nipo karantini...limenifikisha kwenye mawazo yafuatayo kuhusu tofauti ya Lockup na Lockdown:
Lockup - mahabusu/Jela
1.Ni ruhusa...
Nimekuwa nikisikia kila siku ohh jamaa kapewa shavu ohh shavu hilo ohh shavu linakuja hilo. Hivi ni shavu lipi la usoni?
Sasa sieliwi maana yake mwenye kuelewa atueleweshe hapa kwenye elimu...
Tunapodai wamasai, wairaki (wambulu), wandorobo na wahadzabe sio wabantu ni kutokana na miundo na sauti ya maneno ya lugha zao. Lakini kuna hili la Wanyakyusa la kujidai eti baadhi ya vitu...
Jikinge na wakinge wengine Corona inazuilika.
Habarini...
Binafsi ninaelewa lugha ya kabila langu tu, japo nayo iyo siwezi kuzungumza lakini mtu akiongea naelewa vizuri sana.
Katika harakati za...
Tofauti na Kiingereza hebu tusaidieni wandugu ni lugha gani ya kimataifa mtu akijifunza vizuri na kuifahamu hapa nchini.
Anaweza pata fursa ya kibiashara, kazi na mengineyo kwa wale wanaofahamu...
Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ?
Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu)..
Maneno ya kawaida
Mtu - Mundu
Kiti - Giti
Meza - Metha
Kijiko - Giciko
Kitanda - Gitanda
Nyumba - Nyumba
Viatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.