Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia . Makundi ya wanaharakati nchini...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa...
5 Reactions
153 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamii forum Ile methali ya PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA hivi ina maana gani.Naombeni msaada
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Jibu ni hapana. ila hatutaki kufikiri kwa kuwa tayari hatujiamini. nakumbuka mfano mmoja wa Mrisho Mpoto aliwahi sema kwamba kuna kizazi fulani kinasaidiwa kufikiri. kwa mawazo yangu ni hiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta msaada wa kujifunza kitaliano. Anayeweza kukiongea kwa ufasaha tafadhali tuwasiliane +255768957825( Whatsapp pekee) Help needed to study Italian. Anyone who can speak the language...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba maana ya neno zoppa kwa kiswahili au kingereza itapendeza
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa maana ya "Masuria" Natanguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Wazungu, wa Asia hawa wezi watuhujumu sana Waafrica...biashara huria, ukoloni , utumwa, na ubeberu mambo leo ni matone tu katika bahari...! sio Ulaya wala Asia: Adidu rejea ya maendeleo wala...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habr zenu, imenilazimu nije hapa kuuliza hilo swali hapo juu kwasababu ninajua humu ndani tupo watu tofauti tofauti ktk kushare ideas pamoja na kuelimishana.. Mara nyingi mimi huwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mwenye hufaaumu na iki kifaa naomba msaada pakukipata coz nimezunguka maduka mengi bila mafanikio Natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Ni wachache sana kati yetu hawajawahi kupanda Daladala.Haya maneno si Mageni sana. Je haya Maneno kwa Lugha yetu Adhimu ya Kiswahili yanaitwaje?Au Mengine Kiswahili chake ni Hicho?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Uongozi wa Excellent College zamani CILOS, unakaribisha watu wote wanaotaka kujifunza lugha za kimataifa kama vile Kifaransa, Kiarabu, kichina na kiitaliano. Kwa sasa tunapatikana Upanga Mashariki...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ramadhani Juma ama kama kama anavyojulikana kwa jina la kisanii Rama C Chenay ni chipukizi wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la bongo fleva ambae alianzia safari yake ya kimuziki akiwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
USHAIRI SI UZEE Tuepuke kukariri, muda ushabadilika Ujuzi wa ushairi, upo kwenye kila rika Acha nivunje pingiri, watu waliyoiweka Ushairi si uzee, dhana potofu ondoa. Wapo vijana wazuri, mafundi...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Katunzwa au katuzwa? msaada wenu tafadhali.
1 Reactions
16 Replies
5K Views
SIKU MOJA NITAKUA Mimi nitakapokua, nitauacha utoto Mazuri nitayajua,mepesi pia mazito Hatamu nitachukua, kukitafuta kipato Siku moja nitakua, nitafanya ya busara . Hekima nitatumia, nayo lugha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
TAFSIRI NZURI YA kKISWAHILI YA MANENO YAFUATAYO: 1)WEALTH , 2)RISK, vs Danger 3)FINANCE vs Money kwa kiswahili
0 Reactions
0 Replies
981 Views
.. Juzi natoka kazini, getini nikakutana na mlinzi. (ni mzee hivi kdg ameniambia eti ni mnyantuzu japo kabila hili silijui). Katika kutambulishana maana mimi ni mgeni hapa ofisini nikamjuza jina...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
Kipini alipenda pamela, ikavimba pua. Si ujinga kutenda ukitazama wengine, la muhimu kuwaza ni je, umeipata sababu ya kulitenda lile.wanalofanya wenzio? Nilipata fununu kuwa, nzige wako mbioni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom