Strange sounds about letter "O". Letter O has different sounds:
1.sound a as in gloves, money
2.sound e as in work
3.sound i as in women
4. Sound o as in orange
5. Sound u as in good, food, to...
Amani iwe juu yenu wadau wote na wapenzi wa blog hii mimi malenga.
leo kwa mara ya kwanza kabisa katika kipengele hiki cha mdau wetu tumekutana na mkurugenzi mkuuw a taasisi ya sauti ya vijana...
Naomba huyu Iddi Ninga mshairi wa Jf anitafute kwa mawasiliano haya 0788685390.
Nahitaji nizungumze naye kitaaluma zaidi ni mshairi mwenzangu na mwanalugha mwenzangu
Tupeane tafsiri kidogo wa wataalamu wa lugha na sanaa, tukatazame kidogo baadhi ya vipande vya mashairi ya wimbo wa Bi. Kidude uitwao "Muhogo wa Jang'ombe"
Nini maana ya muhogo wa Jang'ombe?
Bi...
Hii inawahusu wale tuliokuwa tunawaita wa kishua enzi zile
Wale wa St Kayumba wenzangu tulieni kama tulivyokuwa tunatulia shule zisizo na walimu wakati wa debate
Wale ambao wakati me nipo...
nini maana ya mwenda tezi na omo,marejeo ngamani ?
iweke pia sentensi hiyohiyo kwa kingereza,mwenda tezi na omo ni marejeo ngamani.
tujipime sisi ni wazuri kwenye lugha gani,kati ya kingereza na...
Na ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika?
Au...
Ni miaka kadhaa huwa naona hili neno linatumika lakini nashindwa kabisa kujua tafsiri halisi.
Hivi majuzi nimegombana na kijana mmoja ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wangu baada ya mimi kutoka...
Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya...
Wadau, huwa ninapata shida kwenye matamshi ya jina linaloandikwa Middle.
Mwenye jina hulitamka "Middle" lakini linavyoandikwa, kwa uwepo wa d mbili, naona kama linakuwa so jina katika lugha ya...
Wataalamu wa lugha husema kwamba lugha ni kitu hai; hukua na kufa. Lugha kadhaa hapa duniani zilikua kisha zikafa mazima, kama kilatini, sanskrit n.k. Sijui jinsi lugha zinavyokufa mazima ila...
Mara nyingi watu wanapost picha ikiwa na neno TBT,
Na wengine wanaambizana eti ooh Mbona hujaniweka kwenye DP yako!!
Tafadhali anayejua maana atupie coz Mimi siyaelewagi hayo maneno!!!
Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi "
Mf. Samahani siku jua kama nili kosea.
Kumradhi siku jua kama nili kosea.
Ruksa kuni rekebisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.