MAUAJI YA AQUILINA
1)Swali tunajiuliza,ni nani kama si yeye ?
Kwanza alitueleza tusimjaribu yeye
Leo wametekeleza,alioyasema yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.
2)Risasi alofyatua,alikusudia...
Kama nilivyouliza hapo juu
Je?. Maneno haya ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti Kama kitu kimoja nini umoja wake.
Kama vitu viwili nini utofauti wake
Naombeni kufahamishwa .
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI
Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa, jifunze kingereza kwa kiswahili kupitia WhatsApp pekee tutajifunza kwa video, voice note, picha...
MIDEGE ISIYOLIWA HIYO NI MIDEGE GANI?
Midege isiyofugika, hiyo ni midege gani?
Moyo wahangaika,nitapa jibu gani
Mawazo kunifunika, yataniIsha lini
Midege isiyolika, hiyo ni kidege gani ...
Wanajf habari zenu wakali wa lugha?
Naitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kunisaidia kubadilisha kitabu kutoka kwenye lugha ya kuswahili kuwa cha kingereza, sio bure namlipa. Sharti asiwe...
Sipendi kuchanganya l na R katika uandishi, muda mwingine inabidi niepuke kutumia baadhi ya maneno ili nisiyakosee, naomba kueleweshwa haya maneno yanaandikwaje kwa ufasaha.
Je ni lipi sahihi...
Mimi napenda leo kuuliza sijui kabisa.
Wana JF huko Facebook naonaga watu wanajiita...Tz nawaelewa maana yao.
Lakini sasa je hawa wakina Jr ii, Jr iii, Jr, ndo wanamaanisha nini?
Ahsante wakuu JF
Naandika msikucha, yangu hii bembelezi,
Nimpe asojificha, si mwingine taazizi,
Ni wewe uso na ncha, katika yangu mapenzi,
Nipende kila kukicha, wasojuwa wamaizi.
Ewe kwangu ndo machicha, si ya...
Inawezakana tunajua ama hatui ila huwa nasema mara nyingi kuna mamia ya wazungu wasiofahamu lugha ya kingereza lakini bado ikawa fahari zaidi kuijua lugha yao kuliko hiyo iitwayo lugha ya dunia...
Pumzika Kwa Amani Tambwe Hiza
1)Kifo ni haki yetu,wote kitatuchukua
Hakuna myongoni mwetu,kitakae mbakiza
Kifo ni kivuli chetu,nasi kipo twatembe
Pumzika kwa amani,Richad Tambwe wa Hiza...
Nauliza wadau;
Ni muda gani inaweza kunichukua kusoma na kuhitimu kwenye taasisi kama British Council na kuhitimu uelewa wa lugha ya kingereza cha kuniwezesha kuwasilisha hoja katika hadhara...
1)Mwenzako mi sina raha,sipokuona usoni
Inatoweka furaha,ninajawa na huzuni
Nahisi ninajeraha,niloumia moyoni
Yanitoweka karaha,yaja raha ya rohoni
Nakupenda si utani,najianda kukuposa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.