Kispania au "nyola" kama waitavyo vijana wa Arusha ni lugha ambayo mara nyingi husomwa kama ilivyo.
tuanze na salamu.
>>HOLA-hi
>>HOLA MI AMIGO-hi my friend(wakiume)
>>HOLA MI AMIGA-hi my friend...
Msaada tafadhali kwa anayefahamu sababu za KUTUMIWA KWA VIMAANILIZI VYA MAANA na imuhimu wake anisaidie kwa wale waliobahatika kusoma kiswahili chuo kikuu
Ahsanteni sana!!
Hivi muzungu anakufa USA au sijui Iceland halafu tunaandika tanzia, hivi ni sawa kweli?
Mimi kwangu haiji, naona kama tanzia inafaa mtu wetu wa karibu hapa nyumbani TZ lkn siyo mtu aliyekufa...
Tanzania si ya Nyerere,
Ujamaa hadi ruhusa,
SabaSaba ni NaneNane,
Mkulima hana sauti,
Mfanyabiashara ana sauti,
Viongozi hamna leo,
Mwanasiasa ndio viongozi.
Tanzania si ya Nyerere,
Zuia gazeti...
Pichani ni wanachama na wapenzi wa kundi la Arusha Poetry Club.
Kundi kuwa la wafia nchi walijikusanya katika uwanja wa vita kwa ajili ya kuanza vita vikali vya mashariki ya kati.
Vita...
Dhana ya kisheria ya kujiuzulu ni kukaa pembeni – huwezi kujiuzulu nafasi fulani halafu unarudi kuigombea nafasi hiyo hiyo – hii ni aina mpya ya ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambao...
Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA
Nawasilisha
Wakati fulani nilimsikia kijana mmoja akimsalimu mzee wa makamo kwa kumwambia "Heshima zako mzee" Nilifikiri huyo kijana hakuwa mtanzania kwa sababu huku tanzania tunajua namna ya kumsalimu...
....jamani kile kiswahili cha kwenye kamusi mnakionaje?.....au kile cha kwenye simu za kichina....ni balaa,mi najua kuna sharubati yaani juis we unajua nin.....funguka hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.