Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mist Ever imagine having eyes But you can’t not see Trying so hard and not making a step Imperfections,rejections and being ignored for every step of your way Wanting the love you can not...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Nakumbuka nilikuwa darasa la nne, miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu wetu wa Kiswahili ambaye alikuwa jinsia ya Kike,alituambia kuwa kila Mwanafunzi ataje Methali anayoijua au Kujifunza, na Unasema...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba tofauti ya sentensi hizi 1. She is gone. 2.She has gone.
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW Mtu...
9 Reactions
110 Replies
14K Views
SKUNK: any of various common omnivorous black-and-white New World mammals (especially genus Mephitis) of the weasel family that have a pair of perineal glands from which a secretion of pungent...
1 Reactions
0 Replies
413 Views
Heshima kwenu wakuu, kama mjuavyo leo ni siku maalumu, na katika hizi siku maalumu huwa 90% tunatumia wali ule mchafu almaarufu(pilau) sasa nataka nimualike rafiki yangu mzungu ila sijui pilau...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Lugha ya Kiswahili ni lugha maarufu sana katika ukanda wa Afrika ya mashariki hasa nchini Tanzania ambako asilimi kubwa ya watu wake wanakizungumza Kiswahili katika maelewano mazuri licha ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rafkiangu(yeye hana access na jamii forum) mmoja alikuwa katika majibizano makali na mpenzi wake,mwanamke ni mnyaturu, yeye ni mhehe ss katika moja ya Meseji,akatumiwa message imeambatana na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamn msaada wa maana ya hui msemo manaake umekua gumzo sana naona watu wengi wanautumia!! Lakin nikijaribu kkutafsiri nahisi kama ni msemo mchafu!!?
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Japo misemo hii ilikuwa hatari kusikika katika masikio ya watu lakini pia baadhi yao waliumia kuisikia na wengine hawakutaka hata misemo hii itamkwe. 1)xxxxxxxx =msemo huu ulianzia ktk nyumba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pitapita ya kujisomea nimekutana na neno Afande ambapo nimesituka sana na maana ya pili ya neno hilo, hii inatokana na Tabia yangu kupenda kuitana na rafiki zangu "afande" hapa nimejifunza...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wako baadhi ya watu wanaodhani kuwa kuzungumza lugha ya kingereza ni lazima uwe na elimu,hali ambayo huchukuliwa tofauti kabisa na wakazi wa Arusha. Ikumbukwe kwamba Arusha ni mkoa wa kitalii na...
8 Reactions
36 Replies
6K Views
Jamani naombeni msaada wa hilo neno la kizungu na matumizi yake
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Ni zipi zinapendwa sana katika jamii?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Naomba mnijuze tofauti ya kimaana kwa hizo sehemu nilizoziainisha. Kwa kimombo, tafsiri niijuayo ni hii:- ¤ Ufukwe : Beach ¤ Pwani : Coast ¤ Mwambao : ? Utaweza kusikia...
2 Reactions
14 Replies
10K Views
Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio 80% ya watumiaji wa...
23 Reactions
47 Replies
6K Views
Wadau nahitaji kujua maana ya Neno SMARTPHONE kwa kiswahili
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Naomba Jibu wadau,Ukichunguza lugha hii kwa wasomi wengi ni ngumu katika swala la mawasiliano hasa inapokuja wakati anatakiwa kueleza jambo?na ingawa Wamefanya vizuri katika mitihqni kupitia lugha hii
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu. Najitolea kufundisha lugha ya alama kwa matumizi mbali mbali especially mawasiliano yawe ya wazi au siri, lugha ninayolenga kufundisha ni ile ya kutumia body language na sign language. Njoo...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom