Kama mtu aliyekulia nje na mwenye nia ya kuboresha Kiswahili changu, si nikaamua ninunue novels za Kiswahili ili zinisaidie.
Yaani nimefungua tu ukurasa wa kwanza nikakutana na hilo neno hapo juu...
Wakuu habari za jioni!..
Nina tatizo ambalo lanisumbua kuhusu logging in ktk account yangu ya jamii forum kwa kutumia PC yapa 2 months kwa sasa..
Mwanzo niliongeza security ya account yangu kwa...
The map below shows how long it takes to learn almost 70 different languages, estimated by the Foreign Service Institute, which teaches these languages to would-be or current diplomats.
Countries...
Nimemsikia kamanda siro akiongelea swala LA police kufyatua risasi dhidi ya ukaidi Wa malima.
Jamani kama hatujui kingereza bora tukae kimya. Ametamka neno "cowardnes" hakuna hill neno alipaswa...
Habari za majukumu wakuu nimesomea korea kaskazini miaka mitatu lugha yao mimi ndio nikawa genus wa korea kaskazini sasa nimerudi tanzania kuja kuchukua kozi ya kiswahili tena maana nimeanza...
Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda.
Kuna utofauti gani kati ya meneno haya .
Kunenepa naku nawili.
Karibu!
Habari ya leo wataalamu wa Kiswahili.
Leo asubuhi nimemsikia Mwanazuoni mmoja wa Kiswahili ambaye hushirikiana na Radio Clouds akisema kwamba neno "Sitirifu" maana yake hali ya usiri. Binafsi...
Napenda sana kuangalia movie za kitanzania na kuzifurahia ila kuna kitu kinanisikitisha mno. Kitu hicho ni tafsiri za kiswahili kwenda kiingereza.Wanaotafsiri sijui wanaokotwa wapi kwani...
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo?
Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake?
Kama kuna mbadala wa...
Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea...
Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.