Habari wapendwa,
Nahitaji kujua neno sahihi kwa nafasi iliyoachwa wazi katika sentensi ifuatayo ni lipi!
"Ukimya wako..................utakaokuponza" (ndio, ndiyo)
Je neno sahihi hapo ni ndio...
Hivi ni sahihi kwa kiongozi yeyote yule kupotosha lugha? Au ndo anaikuza labda tuambiwe...mara "nawafanzia" kazi, mara "kubomoleshwa", hii misamiati iko kwenye kamusi ya TUKI?
Zawadi Lupelo
Wanajamvi salamu kwanza!
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna...
Sikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live".
Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV...
Habari za mchana wana JF,
Wakati nikiwa napambana na hali yangu nimewaza tu out of curiosity maana na asili ya maneno maarufu ya MAMBO na POA.
Mara nyingi yamekua yametumika na watu zaidi mijini...
Habari zebu wadau wa lugha. Naombeni kujua ni lipi neno sahihi kati ya haya:
1- BAADHI.
2- BAAZI.
ipi ni sentesi sahihi nikisema.
A) BAADHI yenu hamjaoa/hamjaolewa.
B) BAAZI yenu hamjaoa/hamjaolewa.
Lugha ya kiswahili ni moja kati ya lugha zinazoendelea kukua kwa kasi na kusambaa duniani huku mataifa mengi yakianza kujikita katika lugha yenye utamu katika mazungumzo.
Lugha ambayo inavutia...
Salaam wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.
Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my...
Habari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua...
kwanza ametandika KANGA mezani ili kureflect culture ya mswahili, halafu anazungumzia terminology za kiswahili sana kama MTANDIO.
SWALI FIKIRISHI: Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au...
Habari wakuu
Leo nilitembelea kwa mjomba wangu
Aisee sasa nilimsubiri kwa kitambo kweli akawa amerudi akamtuma mwanae mkubwa tu wakati anavua viatu na kumwambia ''niletee kandambili zangu"
mwanae...
Wakuu nimeangalia mtandaoni naona majibu hayaendani na context. Naambiwa ni befell, disaster, destiny, tragedy na accident. Msiba naomaanisha ni wa kufariki mtu moja tu, kwa Kiingereza tunasemaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.