Kila kunapokucha kiswahili kinasisitizwa sana kiwe lugha ya kufundishia kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu,
Hiki kiswahili kitakupeleka wapi? Ili hali hata masomo ya art yameshapuuzwa? Wanafunzi...
Heri,
Katika mapambano yangu yaku pata elimu somo la Kiswahili lilikua changamoto kwangu. Hivyo najifunza kila siku.
Nini tofauti yake? " Kiswahili " na "Swahili".
Wageni kutoka nje wata...
Ninge penda kujua hili neno mitale na midimu, lina maana gani? kwa wasukuma. nalisikia sikia tu lakini sijui maana yake, pia kwa wa swahili mnao lijua maana yake, naomba kuwasilisha.
Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kingereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza...
Habari GTs,
Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa.
AHSANTENI
Salaam wana JF
Hivi kiswahili chetu kinaelekea wapi?
Naona kadri siku zinavyozidi kwenda inaibuka misamiati ya ajabu ajabu hasa kwenye upande wa kiswahili cha kuandikwa
Kuna hili neno "MUDA"...
Huwa na tamani sana kuona vijana wakionyesha waledi wao katika kutambua herufi za Maneno magumu/ vocabularies kwa lugha ya kizungu.
Spelling Bee kwa wenzetu imewasaidia vijana wadogo kuweza...
1)Mabadiliko ni mimi,wewe sisi na wao
Mabadiliko si ndimi,ulimi sema vya kwao
Mabadiliko si ngumi,na kupigana na wao
Vijana youthi asembli,chanzo cha mabadiliko.
2)Vijana ndo nguvu kazi,kijana so...
Wakati nipo advance riwaya zangu tamu za muda wote zilikua ni île ya vuta n'kuvute ya shafih adam shafih na île ya usiku utakapo kwisha ya mbunda msokile, vilevile cwezi kuiweka kando riwaya ya f...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.