"Sheila amka, we Sheila". Ni sauti aliyoisikia Anita akiwa anapata fahamu baada ya usingizi Mzito wa saa kadhaa akiwa katika lodge Moja iliyopo maeneo ya Mbagala, Saba saba kwa Mpili. Sheila...
Katika onyo lake kuhusu watu wanaotoa takwimu zinazotofautiana na zile za idara ya takwimu ya taifa, rais amesema "... unakuta ngwini mmoja amebobea huko anatoa takwimu kwamba anajua kutengeneza...
1)Naukumbuka wosia,ule aloniambia
Babu nilipomwendea,ukweli kumwelezea
Umri umeshafikia,wa mke kujipatia
Baba alifurahia,baraka kanipatia
Yupo binti namuoa,katoka kanda ya ziwa.
2)Posa...
Heshima zenu wadau zangu,
Kwa sasa nipo mkoani Mtwara ila kinachonishangaza katika huu mkoa.
Ni aina ya lugha ya kiswahili kiko tofauti ninachokijuaa yaani wakati sisi tunapaita Mtwara wao...
Jaman walumbi wa lugha habari za humu?
Mimi nmejarbu kutafuta sana historia juu ya hawa wanaojiita WAHENGA? naomba kujua kama mtu anaweza kunisaidia kupata historia tu fupi ya hii jamii ya wahenga...
Ukienda kwenye sekta ya maakuli utasikia hapa kwetu watu wanasema
"Nitengenezee nyama roast."
Au
"Tuna wali roast"
Akileta inakuja imekaangwa!
Lakini "roast" maana yake nini?
Ni kuchoma kwenye...
Kwanza, anza kwa kupata introduction.
Tembelea hapa au hapa.
Pili,
Kama huna uwezo wa kununua courses zilizo kwenye links za introduction, unaweza kuzi-download hizo course kutoka links za...
1)Mapenzi ni kuyaenzi,upate ane kupenda
awe ndio wako mwenzi asoweza kukutenda,
Mwili ulintia ganzi,ukamua mbali kwenda
Usinisumbue tena,nimeshapata mchumba.
2)Mwana huyo ni mzuri,*****...
The 6 most spoken language in Africa
1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Milion
Wadau
Hayo maneno mapya hapo chini nimeyapata kupitia taarifa kuhusu uteuzi wa VC mpya UDSM
" The
(Valediction & Investiture)
of the outgoing and incoming Vice Chancellor will be held on...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuona lemutuz akiongeza chumvi katika post zake za insta na kumuita mkuu wa mkoa wa dar fidel marshal
Je ni sawa hii?
Anaendana na fidel marshall kweli?
SIASA ZA KITOTO
1)Zimepitwa na wakati,syasa za kutukanana
zinapoteza bahati,siasa za kulumbana
zatuweka hati hati,siasa za kugombana
hizi syasa za kitoto,ni lini mtaziacha
2)Mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.