Habari wadau wa Jukwaa la lugha,
Kuna neno nimekuwa nikilisikia kwenye baadhi ya mistari ya nyimbo za bongo fleva,Neno lenyewe ni "Sitoi boko".
Nimejaribu kuunganisha nucta kutokana na Jina la...
Hey folks, um just fun of de Jamaican ligua but woow nowhere to learn! Please lets share me fi shoo wuda like to know how dis fellas put deia English unique
Wazee wa lugha, unapoulizwa 'hujambo' huwa unajibu 'sijambo'.
Hiyo inamaanisha upo mzima hakuna tatizo.
Vipi kama kuna tatizo?
Kuna kinyume cha sijambo? Neno lenyewe naliona kama lipo kwa...
Inasikitisha saaana kila kukikucha anatokea mtu na kujiita mimi ni nabii flani.
Je hao wanafahamu maana halisi ya nabii?Au wanakurupuka tu?
Wengine wanahubiri na kuihalalisha pombe kanisani huku...
1)Washairi kulumbana,ni nani alianzisha ?
Washairi kugombana,lini tutatamatisha
washairi kuchukyana,jambo hili linatisha
Vya maneno vinachosha,vi vita vya washairi.
2)Washairi...
Jifunze nami kingereza kwa kiswahili kwa bei cheee, kwa mwezi. Masomo ni online na ni kwa miezi miwili 2,Tunasoma kwa video, pich, audio no kupitia WhatsApp peke,Nipigie sasa na utokwe na aibu ya...
1)Kule mambo siyo tena,ukweli niusemeni
Kule watu wananuna,nyie huku bananeni
Kule mvua hakuna,jua kali utosini Nipokeeni
mjini,jembe nimeacha shamba.
2)Kule kilimo ni bure,soko lake hatuoni...
Sanaa ya ushairi kwa zama za sasa ni sanaa ambayo licha ya muitikio kuwa mdogo kwa jamii yetu lakini bado watu wengi wanazidi kujikita katika kuikuza na kuendeza sanaa hiyo kwa ajili ya kizazi cha...
Asubuhi hii nimemsikia mwendesha kipindi LULU ZA KISWAHILI,TBC akisema kama we in Mswahili,hujui Kiingereza huwezi kuota kwa Kiingereza!
Naomba kutofautiana naye: Mimi naongea Kiingereza kwa...
Asili ya neno "salary" (mshahara) linatokana na neno la Kilatini "sal' ama 'salarium' lililomaanisha "salt" (chumvi), zamani wakati wa Milki ya Warumi (Roman Empire) wanajeshi wa Kirumi walikuwa...
hivi hapa kuna Ma gwiji wa lugha aina aina. Mbona alie kwama asiombe usaidizi?
Hivi nina Maneno ya kiingereza naomba utafsiri ila thread Hii ni ya wote wanaotaka kupata tafsiri ya Maneno Yao kwa...
1)Penzi ni kama bahati,kama vyema tukipanga
penzi ni kama kabati,kwa ustadi ukijenga
upendo ni mikakati,kwa shabaha ukilenga
umenishinda tabia,nabaki kuvumilia
2)Kimya kimya nakwambia,acha...
Labda kwa kuwa kiswahili kimekuwa lugha ya mazoea katika midomo yetu lakini pamoja na hayo haimaanishi tukiache.
ukitazama kwa sasa wengi wanaamini kuwa kujua kuzungumza kingereza ndio kuelimika...
Habari gani jamani. Mimi ni mmarekani aliyeishi Tanzania miaka miwili kuanzia 2014 mpaka 2016. Nimejiunganisha na jamii forums hivi karibuni tu lakini... Samahani nimechelewa. Basi...
Wakati...
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni.
1...
Kikawaida MFU ni mtu aliekufa (kwa lugha ya kuonyesha hadhi ya kiumbe) ambae anaweza akawa katika hali mbili.
moja akiwa hai na ya pili akiwa maiti.
katika ile hali ya kuwa maiti,mfu anakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.