Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia .
Makundi ya wanaharakati nchini...
Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa...
Jibu ni hapana.
ila hatutaki kufikiri kwa kuwa tayari hatujiamini.
nakumbuka mfano mmoja wa Mrisho Mpoto aliwahi sema kwamba kuna kizazi fulani kinasaidiwa kufikiri.
kwa mawazo yangu ni hiki...
Natafuta msaada wa kujifunza kitaliano. Anayeweza kukiongea kwa ufasaha tafadhali tuwasiliane +255768957825( Whatsapp pekee)
Help needed to study Italian. Anyone who can speak the language...
Wazungu, wa Asia hawa wezi watuhujumu sana Waafrica...biashara huria, ukoloni , utumwa, na ubeberu mambo leo ni matone tu katika bahari...! sio Ulaya wala Asia: Adidu rejea ya maendeleo wala...
Wakuu habr zenu,
imenilazimu nije hapa kuuliza hilo swali hapo juu kwasababu ninajua humu ndani tupo watu tofauti tofauti ktk kushare ideas pamoja na kuelimishana..
Mara nyingi mimi huwa ni...
Ni wachache sana kati yetu hawajawahi kupanda Daladala.Haya maneno si Mageni sana.
Je haya Maneno kwa Lugha yetu Adhimu ya Kiswahili yanaitwaje?Au Mengine Kiswahili chake ni Hicho?
Uongozi wa Excellent College zamani CILOS, unakaribisha watu wote wanaotaka kujifunza lugha za kimataifa kama vile Kifaransa, Kiarabu, kichina na kiitaliano. Kwa sasa tunapatikana Upanga Mashariki...
Ramadhani Juma ama kama kama anavyojulikana kwa jina la kisanii Rama C Chenay ni chipukizi wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la bongo fleva ambae alianzia safari yake ya kimuziki akiwa...
USHAIRI SI UZEE
Tuepuke kukariri, muda ushabadilika
Ujuzi wa ushairi, upo kwenye kila rika
Acha nivunje pingiri, watu waliyoiweka
Ushairi si uzee, dhana potofu ondoa.
Wapo vijana wazuri, mafundi...
SIKU MOJA NITAKUA
Mimi nitakapokua, nitauacha utoto
Mazuri nitayajua,mepesi pia mazito
Hatamu nitachukua, kukitafuta kipato
Siku moja nitakua, nitafanya ya busara .
Hekima nitatumia, nayo lugha...
.. Juzi natoka kazini, getini nikakutana na mlinzi. (ni mzee hivi kdg ameniambia eti ni mnyantuzu japo kabila hili silijui). Katika kutambulishana maana mimi ni mgeni hapa ofisini nikamjuza jina...
Kipini alipenda pamela, ikavimba pua. Si ujinga kutenda ukitazama wengine, la muhimu kuwaza ni je, umeipata sababu ya kulitenda lile.wanalofanya wenzio?
Nilipata fununu kuwa, nzige wako mbioni...