Kula matunda na mboga fresh ni nzuri kwa afya yako lakini kuna vimelea vinavyoweza dhuru afya yako.
Jifunze dondoo za usalama wa chakula ufurahie chakula chako.
☞Matunda 🍓🍎🍉🍌na 🥬🥗 huongeza...
Habari zenuuu...hata Mimi nilihangaika kweli kujifunza mapishi ya ubuyu...haki..nilishaharibu sukari yangu Mara kibaooooo lkn ckukata tamaa! Sasa ni hiviii
Mahitaji:
Sukari kilo moja
Ubuyu vikombe...
hello wapenzi mnaopenda kula vizuri
Leo nataman tushee hili tunda la stafeli !ni tunda pendwa na adimu kias chake !tumezoea kutengeneza juice za maembe,nanasi,parachichi
hebu leo tutengeneze...
Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi
Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza...
Wanajamvi habari za leo? Poleni sana na majukumu ya kujitafutia kipato Lakini poleni sana kwa ndugu walipoteza wapendwa wao kwa ajali ya moto huko Morogoro.
Leo napenda kupata maelezo ya kutosha...
Nimebahatika kutembea nchi kadhaa Europe, Asia and Americas; pia ni mpenzi wa kutazama vipindi vya mapishi kwenye dstv ch 175.
Ambacho nimejifunza ni tofauti ya dhana nzima ya mlo kwa nchi...
Habari,
Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.
Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama...
Mwenye ujuz naomb msaada tafadhar,
nimejarb kutengeneza bisi za rangi, mara ya kwanza zikatoka vzr kbsaa, ila baada ya hapo mara zote tatu zimeungua hata kabla ya kupasuka na zikipasuka hazifai...
Wana Jf,
Watu wengu hupendelea sana kula Pilau siku ya Ijumaa, huu utamadumi umetoka wapi na nani mwanzilishi wa utamaduni huu. Kwanini watu huamua kwua ijumaa tu ndio siku ya pilau.
Mwenye...
sijui kama nimevumbua au huwa ipi ila nimejaribu imekubalika.
Nimefika home nimechoka, na sikuwa na wakunipikia na siwezi kula mabarabarani.
nikachukua sufuria nikamwaga mchele mkavu, nikaweka...
Basi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu
Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sio
Je ni upi Mchakato sahihi wa kuandaa soya kwa ajili ya maziwa ili kumuepusha mtumiaji na side effects za soybeans,?
maana nimesikia na kusoma Mengi kuhusu maharage ya soya ,sokoni yapo maharage...
Jamani jamani !
Utamu wa kongoro una siri yake .
Maandalizi ya kongoro ni shida.
Nyembe , visu na nyenzo kadhaa chafuchafu hutumika kuandaa chakula hicho pendwa hasa nyanda za kaskazini mwa...
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
Kata kachumbari ya kitunguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.