Wakuu habari za jioni nilikua naomba kujuzwa. Kwa kiwango hiki cha unga kilo 25 ni sawa kutumia mafuta liter 10 kwenye mapishi ya maandazi. Natumia unga wa Azam wa maandazi. Na vip hakuna maujanja...
Habari wakuu na poleni na majukumu
Naomba msaada wenu wa hasa kina dada mniandalie ratiba rahisi ya chakula ya hata siku 5 za juma,niko huku camp sasa mambo ya kujipikia yanakuwa tatizo kidogo...
Cake ya 1kg
Mahitaji:
Unga g 250
Sukari g 250
Vegetable oil 250g
Baking powder 2tsp
Baking soda 1tsp
Zabibu kavu
Chumvi kidogo
Cocoa 75g
Kahawa 1cup(chemsha maji yachemke ndo uweke 2tsp ya kahawa...
Asalaam Alaykhum. Za jioni wapenzi wa mahanjam, masotojo, madiko-diko,. wale wapendao kula vilivyo bora na sio bora kula tuu nawasalim tenaa "asalaam Alaykhum, waalaykhum salaam"😊
Haya, mida ndio...
Lishe ya watoto imekuwa changamoto sana
Vitoto vinane epeshwa tu wazazi wakidhani ndo afya
Tutupie mapishi mbalimbali ya vyakula na juice za watoto hapa
Leo dogo nampikia kama hivi
Naimani sote humu tushawahi kula hiki chakula/mboga ya maharagwe. Binafsi ni mpenzi sana wa chakula hiki, na huwa nafurahiaga sana kikipikwa vyema kwani kina ladha isiyo kifani.
Kuna sehemu...
Habari zenu wapendwa, amani iwe nanyi
Kwa kuanza bandika sufuria lako la maji jikoni ila maji yanatakiwa yawe mengimengi kuzidi kiasi cha mchele tofauti na ule wali wa kukadilia maji kutokana na...
Habari wana Jamvi
Nahitaji kujua hatua kwa hatua namna ya kuandaa mpakaa kukaanga ndizi mzuu mpaka zinaku crisps.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
MAHITAJI
Unga uliyotayarishwa tayari kwa kupikwa (pakiti moja - 500g)
Mayai matatu
Mafuta ya kupikia 80ml
Maji safi 200ml
Butter kiasi
Kwa ajili ya topping
Nunua chokolate yenye karanga...
Mamboo wapenzi wa mahanjam, mambo matam matam ya jikoni, mambo ya chakula kizuuuri chenye ladha isiyo chosha... Asalam Alaykhum.
Leo nataka tujifunze mboga hii jinsi ya kuitengeneza na kuipika...
Wale wataalam wa kupika naomba mnupe shule ya kupika makange ya kuku wa kienyeji.
Leo natamani nijipikie msosi mtam mwenyewe nyumbani, natamani iwe makange au kitu kingine kizuri.
Naombeni namna...
Maandalizi; dakika 5
Muda wa kupika; dakika 10
Muda jumla; dakika 15
Mahitaji
1. Ndizi mzuzu tatu kubwa
2. Vijiko 4 vya chakula chenga za mkate
3. Mafuta ya kutosha ya kukaangia
4. Chumvi au...
Chemsha yai
Likiiva limenye
Likate vipande vidogo vidogo
Changanya na mayonnaise
Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake
Unaweza kutengeneza sandwich 🥪 ya kuendea kazini au picnic.
Hii ni AIR INDIA flight from Mumbai To London, kama unavyoona hapo msosi unajumuisha kitu cha SEMBE. Ngoja nikate ticket ya ATCL nikaone kama kuna hii kiyu.
Ni kaka wa ndizi, hupikwa zikiwa mbichi au zimeiva.
Zina kiwango cha potassium mara mbili zaidi ya ndizi za kawaida
Jinsi ya kupika mzuzu wa nazi
Mahitaji
Ndizi 6
Nazi
Iliki
Safron
Unga wa...
Habari zenu,
Wengi wetu tukimenya vitunguu maji na kuvikatakata mara nyingi tunatoa machozi.
Sasa chukua kikombe au bakuli tia chumvi na maji halafu weka pembeni huku ukikatakata vitunguu vyako...
Sometimes tunajikosesha lishe kwa kuogopa watu watatuonaje. Nimegundua kuwa wengi bado tunapenda vyakula tulivyopenda utotoni sema kujivunga na kukimbilia mijunk.
1.Usione aibu kununua vibama...