Wataalam wa mapishi naomba mnielekeze mbona nikila sehem za watu vyakula vyao vinanukia na vina ladha safi,,au unakuta unapita sehemu unasikia mtu anaunga mboga inanukia balaa mpaka hamu ya kula...
Mapishi – Ndizi Mshare na Nyama
Mapishi yetu ya leo yatakuwa ni ndizi mshare (wengi wanapenda kuziita ndizi moshi) na nyama ya ng'ombe.
Mahitaji
· Ndizi Mshare mbichi 16
·...
MAHITAJI
( Chakula hiki kinatosha watu 3 hadi 5 )
600 gram mchele wa basmati basmati
1 Kuku mzima ( toa ngozi na kata vipande vikubwa kama kwenye picha)
6 Vitunguu umbo la kati
15 Gram kitunguu...
Habari wana JF,
Karibuni tujuzane futari unayopenda kula mwezi huu wa Ramadhani.
Kwa upande wangu napenda sana tambi na maharage alafu na mchuzi wa samaki.
Mchanganuo wa jinsi ya kupika vitumbua
Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele,nyama,samaki,tambi,mtama nk.
Kiasili vitumbua ni chakula ambacho...
..,.........habarini wadau,,,,,,,
Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] )
[emoji626] hakikisha pale unapopika wali...
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari hili ndo chimbo linalosumbua mjini kwa wastaarabu.
Wafanyakazi wa hapa wanavaa kwa heshima na ni wachangamfu.
Pametulia hakuna makelele sana.
Kuna nyama...
Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu.
Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron...
Hasa kwa wale wenye excess body fatty, unataka kuiacha ipungue kwa metabolic process naturally. Kula cabbage au cauliflower kama main meal. Unaweza kuweka nyama au samaki juu yake kama mboga ya...
Wakuu habari. Nimejikuta nimebaki mwenyewe home baada ya shule kufungwa na nina nyanya nyingi kwa fridge.
Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ambayo itakaa kwa muda mrefu kwa fridge bila...
Helow Wakuu
Nina binti yangu anapendelea haya mambo ya mapishi nimempeleka akajifunze ufundi nguo amemaliza yupo vyema ila bado akili zake zinahitaji kujifunza upishi
Mwenye kutambua chuo...
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wandugu, aisee nahitaji kujua kama hili swala nimeliona peke yangu tu au? maana nimegundua chakula ni kikipasha kwa kutumia microwave ladha inabadilika kabisa, yaani kinakuwa kama kinakosa...