Nipende kuwatakieni heri ya Christmas na mwaka mpya wanajf wote!
Imezoeleka kupika vyakula vile vile kwenye sikukuu kubwa kubwa !
Leo tugeukie upande wa pili wa nyama !
Firigisi ni nyama tamu...
Supu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.
Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.
Mathalani unamuona mtu...
Tembea uya one. “sio nyumba zilizo pandiana hapana ni maghorofa.”
Hivi kumbe kuna Ugali wa nazi ? Yani ugali umepikwa kwa nazi ? Aise ! Jana nili ula huu ugali. Nimeamua huu ndio Ugali wangu...
Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.
Miongoni mwa...
Naomba kwa yeyote anayeweza kupika hicho kitoweo anifundishe.
Nilibahatika kukila huko duniani nikakipenda. Sijui jina lake kwa Kiswahili. Shida yangu ni jinsi ya kukipika.
Asanteni.
Jamani imekua ikinitokea Mara nyingi nikinywa supu ya ng'ombe.
Nakua mchovu sana.hadi nimeanza kuogopa kunywa supu.je Shida inaweza kua nini.??? hata hapa naandika nikiwa Niko mchovu sana baada...
Habari wana jf naomba kujuzwa
jee hivi chai ya kijani(green tea) ndiyo ule mchai chai unaopatikana sehemu nyingi ambao ukiuchemshia na maji chai inabadilika rangi au chai ya kijani ni ipi. ??
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, watu wengi wanapenda kunywa chai na vitafunwa vya aina mbalimbali, ikiwepo mikate, maandazi, vitumbua, sambusa, nk.
Lakini kitafunwa cha...
Salaam!
Imekuwa desturi yangu sasa kula hizi karanga,in short tuseme niko addictive.
Hivyo basi ningependa kujua siri ya upikaji wa hizi karanga na mimi nitengeneze mwenyewe.
Natanguliza shukrani.
Jamani kuna jambo linanikera kwelikweli,
Kuna kasumba imeota mizizi kwa sasa, sijui niseme wanawake hawajui kupika au wanadhani wanaume tunapenda mafuta sana.
Hii tabia ya kumwaga mafuta kwenye...
Mahitaji
Kuandaa mkate huu tutakuwa na mahitaji ya aina mbili tofauti.
Mahitaji kwa Unga wa mkate
Unga wa ngano, kilo 1
Maziwa ya unga vijiko 2 vikubwa
Hamira kijiko 1 cha chai
Mayai 2 (Moja la...
Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi...
Habari wapendwa.
Leo nawaletea pishi la mlenda wa bamia bila kuweka magadi.
MAHITAJI:
BAMIA
MAJANI YA MABOGA AU MATANGO,AU CHINESE
KARANGA
SUFURIA
KIJIKO MPIKICHO AU MWIKO
JINSI YA KUNDAA
CHAMBUA...
KUSEMA KWELI MIMI NAJUA KUPIKA KIAINA.KATIKA FAMILIA NI WALE WATU AMBAO KAMA KUNA MNUSO LAZIMA NIPANGWE JIKONI .JAPO SIO KWAMBA MIMI NDO TOP NIPO KAMA NAMBA TATU HIVI KATIKA WANAWAKE SITA SO SIO...
Habari ya wakati huu.
Wakuu, najifunza kupika baada ya kuamua kupunguza kula migahawani.
Naomba kujua viungo au namna tofauti tofauti za kupika nyama au samaki. Namaaniaha viungo vya kuweka...