Mi mgeni kwenye jukwaa lenu wapendwa ila limenivutia sana nikaona si mbaya kama nitashare nanyi ujuzi na kupata mawazo mapya kuhusu mapishi mbali mbali.
Leo wapenzi ningependa muonje uji wa...
Vyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi.
Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye...
Mwenyezi Mungu ametupatia aina lukuki za matunda lakini ukipita mitaani au ukitembelea kwenye nyumba zetu, juice maarufu ni ya Pasheni,Parachichi na embe.
katika kusaka maarifa huku na kule...
Wapenzi mie upishi zamani nilikuwa sipendi kabisa ha ha ila sasa ndio nimeanza kuwa na Interest za kupika pika vyakula mbalimbali Ila kuna vitu napenda sana kujua,hasa hapa nilipo tukiagiza Keki...
Hii inawahusu sana Wanaume wa Pwani hasa wale wa Daslam!
Kweli unaweza ukatoka nyumbani kwako ukaenda kununua Pweza na kumla kweli?
Tena kuna wengine wanapeleka zawadi mpaka nyumbani kwao...
Vipimo
Vikombe 3 vya unga
Kikombe 1 maziwa ya dafudafu (warm)
½ kikombe sukari
½ kikombe maziwa ya unga
Mayai 2
Kijiko 1 cha chai baking powder
½ kijiko cha hiliki ya unga
1/3 kikombe mafuta...
TAMBI ZA MIHOGO
Mahitaji
a) vikombe 3 vya unga wa mihogo
b) kikombe 1 ½ cha unga wa soya
c) yai 1
d) kijiko 1 cha unga wa curry
e) chumvi kiasi kidogo kwa ladha
f) maji...
Juisi Ya Mabungo
Vipimo: Kupata takriban gilasi 6
Mabungo................................................ 3
Maji....................................................... 6 au 7 Gilasi...
kwa wale wapenzi wa chapati Kama mie Naona mate yashawatoka. Upishi Wa chapati umekua kitendawili kwa warembo wengi sana ila ukishazijulia utakua wazipika kila siku.
Leo naja waletea pishi hili...
Hawa ni bata wale wafugwao,kama ilivyo kwa kuku bata hawa pia wanauzwa masokoni na wachinjaji hadi wanyonyoaji wapo huko huko sokoni,wananyonyoa na kukukatia katia nyama vizuri,pesa yako tu...
Naomba msaada wa kuelekezwa utengenezaji wa siagi ya karanga (peanut butter) ntashukulu nikipata msaada wenu.
Mahitaji
1)Karanga kg 1/4
2)Asali kijiko 1.5 cha chakula
3)Peanut oil au mafuta...
jamani wana jamvi wa mapishi mim nime jaribu sana kutengeneza peanuts butter lakin kila niki pack kwenye container ina chacha hivi ni kwa nini
naomba msaada wenu jamani
Habari mabibi na mabwana!
Kuanzia dunia inaumbwa hadi leo hii tulipo tumekuwa tukishauriwa au kujishauri kuhusu ulaji wa matunda na mboga za majani.
Nadhani hata mgonjwa hospitali huwa daktari...
Jinsi ya kupika biryani ya kuku, ng'ombe au mbuzi
Mahitaji
1 kilo mchele wa basmati mrefu
1 kilo nyama iwe ya kuku au ng'ombe au mbuzi kata katika umbo dogo la kutosha kula kisha...
JINSI YA KUANDAA NA KUTENGENEZA BISKUTI ZA JAM .
MAHITAJI:-
Unga 2½ glasi
Sukari ¾ glasi
Samli\blue band(ndogo)
Mayai 2
Baking powder 2 kijiko vya chai
Vanilla 1½ kijiko cha chai Maganda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.