Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
**********Mahitaji *********** Brokoli kiasi Carrot 1 kubwa Kitunguu 1 kikubwa Kitunguu saumu chembe 5 katakata ndogo au twanga Nyanya (tomatoes) 2 kubwa Pilipili mboga nusu (unaweza...
9 Reactions
45 Replies
19K Views
Pana utafiti uliisha fanywa kuwa kutumia mifuko ya plastiki kufunikia wakati wa kupika ni hatari kwa afya. Lakini hapa Dar mama lishe wengi wanaitumia katika kupikia vyakula. Hivi mamlaka husika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anayetaka kujifunza kupika chapati lain na mchambuko ani pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki...
10 Reactions
65 Replies
13K Views
Weekend hii nilimpumzisha dada kupika nikaingia jikoni mwenyewe. Dada wangu wa kazi anajua kupika hivyo mara nyingi namuachia apike yeye. Jana nilipika biriani ya nyama nikasahau picha. Leo jioni...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Habarini Wadau, Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia. Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona...
6 Reactions
73 Replies
14K Views
Nataka nitengeneze cookies amazing hapa Anaetaka aje whatsup nimuadd Skype tupike wote
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Habari wanajf nimekuwa nikijaribu kupika lakini naishia kupika bokoboko sasa nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kupika wali vizuri kama wa hotelini yaan nisaidieni please.
0 Reactions
8 Replies
23K Views
Nimechoka kulishwa nazi na Bakhresa za kiwandani. Nataka nazi original toka shamba mnazini. Tatizo lipo ktk ukunaji wa iyo nazi ili kupata tui. Vipi naweza kutumia utaalam na kifaa gani...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari wana jamii forums Kwa anayejua kutengeneza ice cream naomba msaada.Sio hizi local za ubuyu na ukwaju .Nataka zile za kupima.kwa yeyote anayefahamu anisaidie
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahitaji: Nyama ya ng'ombe Ndizi mbichi Kitunguu maji Mafuta ya kupikia Blue band / Tanbond Chumvi kiasi Namna ya Kupika Katakata nyama na kisha iweke kwenye sufuria yenye maji kidogo na chumvi...
7 Reactions
55 Replies
9K Views
Helo wapendwa wa madikodiko Ngoja niwapeni siri moja Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani. Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati. Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Jameni,siku hizi nimekua nachukua video za you tube najipikilisha keki kwa ajili ya watoto na ili dada wangu wa nyumbani nae ajifunze kupika keki.(inaeza kuja kimsaidia mbeleni) ila wote wanafunzi...
1 Reactions
62 Replies
30K Views
Habari zenu wadau? Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako. yani nipe mawazo yako ni viungo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
MAGIMBI YA NAZI MAHITAJI 1. Magimbi 2. Nyama 3. Nazi 4. Nyanya za mchuzi(Tungule) 5. Kerot 6. Pilipili Boga (Pilipili hoho) 7. Kitunguu maji 8. Kitunguu thomu 9. Tangawizi 10. Nyanya ya paket 11...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Muhogo wa nazi,vitumbua, chai ya kichwa, wali wa nazi, mchuzi chukuchuku,mkate wa maji, mkate wa kumimina, vibibi, uji wa pilipili, uji wa muhog, maandazi, mahamri, tambia, maharage, juis ya...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu kwanza samahanini,nimetafuta jukwaa la mapishi sijaliona.Naomba mtu yeyote anayejua kutengeneza bagia kwa unga wa dengu anijuze.Je unachanganya na nini na uanakorogaje,pia unasubiri muda...
0 Reactions
4 Replies
22K Views
Heri ya Pasaka wana JF Nimezoea miaka yote siku za sikukuu kama hizi naalikwa na ndugu,jamaa na marafiki kwenda kula nao sikukuu ila hali imekuwa tofauti pasaka hii, mpaka sasa sijapata mwaliko...
7 Reactions
34 Replies
9K Views
Leo nahitaji kushiriki nanyi chakula ambacho mara nyingi mama yangu amekuwa akipenda kutupikia kimekuwa kama ni chakula cha kifamilia na akiweka secret ingredients ambayo hiyo sitoitaja maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ndio yangu kwa leo: Mahitaji; 500 gm spaghet 200gm or 8 pieces of lady finger fruiit cust into halves 300gm or 4 pieces of tomato fruit make into paste Onion cut into slices food...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom