Habarini za muda huu wapenzi wa jinsi ya kupika.
Jiweke tayari tuandae pishi letu la leo, katlesi za samaki. Ni miongoni mwa chakula kipendwacho na wengi kutokana na ladha yake. Haya sasa natumai...
Wana Jamvi kuna kitu napenda niwaeleze nanyi mfaidi ila nipate kwanza maoni ya wengi,
Hivi ni kwanini ukipika chakula ukifunika vizuri tu bila ya kuweka kwenye friji zaidi sana kwa miji yenye...
Ni nini eti,
Mayonnaise imetengenezwa kwa vitu gan haswa ili nielewe katika mazingira yetu ya kiswahili. Na matumizi yake ni yapi. Leo nlikua kwenye Coaster ya Mwendamseke inayofanya safari zake...
hii ni katika mazungumzo na msomi mmoja na alinitolea mfano wa nchi zinazokula sana kitimoto kama Ujerumani , China na nchi nyingi za Ulaya jinsi watu wake walivyo na upeo mkubwa wa akili na...
Leo ninakuletea dondoo kidogo kuhusu Matumizi na madhara ya chumvi. Kwa miaka mingi chumvi imeendelea kuwa kiungo muhimu katika chakula cha binaadamu, ukitaka kujua umuhimu wa chumvi pika mboga...
Mahitaji
Unga wa ngano kilo 1
Mayai 2
Chumvi
Maji
Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa
Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea
Iliki ya unga
Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa
Maelekezo
Weka unga kwenye...
Mara nyingi nimekiona kina mama wakipika mchuzi ikosekana carrot au hoho wala hawana shida lakini kikikosekana kitunguu watatafuta popote pale.
Umuhimu katika mchuzi ni upi? na kama kikikosekana...
Wakuu najua mko poa,
Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake...
Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako
Ni rahisi tu.....
Mahitaji
Embe mbichi 5
Pilipili mbuzi
Chumvi kiasi
Tangawizi
Chupa ya...
Ajali nyingi zinaweza kutokea jikoni usipokuwa makini. Mambo yafuatayo yatakusaidia kuzuia ajali unapopika na unapokuwa jikoni. Ajali zinazotokea mara kwa mara jikoni ni kuungua, kujikata na vitu...
Habari ya wakati huu wakuu.
Kwa muda mrefu sana sijawahi kupika, sasa nataka nianze kujipikia simple foods napokua nyumbani.
Sasa niliwahi kununua hii kitu inaitwa rice cooker ya kilo 2 muda...
Habari zenu humu wapishi
Naombeni namna ya kupika mbilimbili za pilipili.... ziwe tamu na zisioze upesi.
(Ukiacha hii ya nyanya pilipili na kuanika juani daily)
Nahitaji techniques mpya...
Wadau mimi ni mnunuzi wa maziwa. Mara kadhaa nakuja gundua maziwa yamechanganywa na maji pale ninapo yachemsha. Hapo tayari nimekuwa nimepata hasara kwani tayari nimeshayanunua.
Kama kuna njia...
1.Sufuria
Ili uweze kupika kitu cha kwanza unachohitaji ni sufuria. Sufuria ni chombo ambacho kinatumika kila siku katika mapishi mbalimbali hivyo ni vyemaa ukanunua sufuria bora ambazo...
Huu ni mlo wa kuliwa na watu wawili. Kama watu ni wengi ongeza idadi ya ndizi na nyama.
MAHITAJI YA CHAKULA HIKI
Ndizi mbichi 4 (nimetumia ndizi malindi), menya na kata vipande vidogo, hifadhi...
Shalom wapendwa katika Bwana.
Mapishi ya keki ya chocolate yapo mengi leo nawawekea pishi hili.
Mahitaji
Unga wa ngao 250g
Kokoa vijiko vya mezani(tbsp) 3
Baking powder vijiko vya chai(tsp) 2...
1. Kuondoa unga wa ngano uliogandia kwenye mikono kwa haraka.
Chukua unga wa mahindi na usugue mikono kisha uioshe na maji, unga wa ngano uliogandia utaondika kwa urahisi kuliko kuosha na maji...
Njegere Ni chakula cha kawaida kabisa kwa watanzania wengi. njegere hizi hutumika kwa milo tofauti ya siku ukipenda
Njegere zina namna tofauti pia hata katika mapishi yake na hii ni moja ya namna...