Naomba wataalam wa kutengeneza zile karanga flani ivi zinakua sijui na mayai ambazo naziona kwenye masuper market au sherehe ambalo wanaita bites anipe recipe yake tafadhali.
CC gfsonwin...
Simfahamu huyu dada lakini mapishi yake yamenifanya nione maisha rahisi sanaaaa!
Antumia lugha ya kiswahili na anaeleweka sana kwakweli.
Youtube Chanel yake inaitwa Aroma of Zanzibar.
Mabachela...
Habari wadau!
Binafsi sijawahi tumia hiki kifaa au kukikuta kinatumika mahala popote nilipoenda( kwa majirani, marafiki, ndugu n.k) em' tufahamishane kinakazi gani na kunatofauti gani kati ya...
Wanajukwaa naomba mwenye kujua namna ya kutofautisha yai la kuku ni lipi la kisasa na ni lipi la kienyeji kwa kuliangalia tuuu mwonekano wa nje. Msaada tafadhali.
Yafuatayo Ndiyo mahitaji ya kutengeneza nyanya chanzo.
1. Nyanya kilo 1.
2. Vitunguu maji viwili.
3. Vinegar vijiko 3 vya chai.
4. Sukari vijiko 2 vya chai.
5. Chumvi kijiko Kimoja cha chai
6...
Vipimo
Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7
Nyama ng’ombe ½ kilos
Tangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kulia
Haldi (bizari manjano/turmeric) ½ kijiko cha chai
Tui zito la nazi vikombe 2
Chumvi kiasi
Namna...
Usiukimbize , bado una nafasi ya kipekee jikoni kwako. Haipendezi kukoroga juisi na vijiko vya bati au platisiki tumia miti, upawa na mwiko ndiyo marafiki zako hapa.
Si jambo la kufurahia upawa...
Mchuzi huu hufaa wale wenye familia kubwa,
Mahitaji:
fungu moja la vibua,
vitunguu,
nyanya,
tomato paste,
limao,
chumvi, oxo.
Osha vibua toa utumbo na vichwa,
Weka limao na chumvi...
Vipimo
Boga la kiasi - nusu yake
Tui zito la nazi 1 ½ gilasi
Sukari ½ kikombe
Hiliki ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Menya boga kisha katakata vipande vya kiasi.
Weka katika...
Salaam jamani,
Kina dada na kina mama mnisaidie jamani simple futari ya makorombwezo nataka wikiendi hii niitumie vizuri.tunapata tabu sie mabachela, tunafuturu Kwa ugali .
Thanks
Maza katoka kijijini kaja kunitembelea kaja na maboga ya kutosha namuonea huruma sijui alibebaje anyway am her little daughter hata kama nimezeeka vipi so hapa nimeona nipike soup ya boga.
Kula...
Kwa kuwa niko single nimejikuta napenda sana kupika chakula kitamu, nikawa nimepata link moja ya group la mapishi whatsApp nikajiunga.
Majaabu niliyoona ni kuwa pamoja na kuwa kundi liko hot kwa...
Kwa miaka ishirini sasa Ndugu, Sila Sutharat amekuwa akichoma Kuku na Kitimoto kwa kutumia nguvu ya jua pekee.
Ndugu huyu anasema kuwa wazo wa uchomaji wa vitoeo kwa njia ya mwanga wa jua ni wazo...
Kero yangu siku ya leo ni nyie mama ntilie, nianze kwa kudiclea interest kwamba mnatusaidia sana kutuhifadhi mjini kwa kutupatia shibe kwa bei chee, ila nimegundua mna tatizo sugu la kutoivisha...
MAHITAJI
1.Karanga za kusagwa
2.Chumvi
3.Unga wa mlenda
4.Maji
Jinsi ya kuandaa
Chukua karanga zilizosagwa vizuri loweka kwenye bakuli la maji,baada ya muda anza kuzikoroga utokee uji mzito kiasi...
Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufahamu wa kupika popcorn zinazokuaga na ladha ya sukari ilitupate kufahamu hapa jukwaani kwa faida ya wengi karibuni!!
Mahitaji
1)Karanga kg 1/4
2)Asali kijiko 1.5 cha chakula
3)Peanut oil au mafuta yeyote kijiko 1 na nusu cha chakula
4)Chumvi 1/2 kijiko cha chai (kama peanut zake hazijakua roasted na chumvi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.