Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wasalaam ndugu zangu, Kuna mboga fulani inaitwa mlenda niliwahi kula zamani kidogo, inakuwa imelojeka sana. Sasa kutokana na kuisoma namba nataka nijifunze kupika hii kitu ili kubana matumizi...
1 Reactions
46 Replies
11K Views
Sukari yeyote ni hatari katika mfumo wa mwili, Wataalam wanathibitisha uwepo wa takribani vijiko 10 vya sukari katika kila chupa moja ya soda, kwa maana hiyo unapokunywa soda 5 kwa siku maanake...
9 Reactions
28 Replies
22K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
.
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari wapendwa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba tujuzane kwa mwenye uzoefu wa kunyonyoa bata kwa urahisi zaidi
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Toka nikiwa mdogo na mpaka sasa huwa naona katika matumizi ya samaki(kula) watu wengi huwa hawali vichwa vya samaki pia katika maandalizi ya dagaa(mboga) watu huondoa vichwa. Mi naona kuondoa...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Unakuta unavunja yai na kile kiini cha njano kinasambaa na kuchanganyikana na ute hata kabla hujalikoroga. Hili yai bado zima?. Nawezaje kujua yai limeharibika au la?
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
1 Reactions
21 Replies
15K Views
Mbadala bomba kabisa wa Pilau, Chakula kitamu cha kuridhisha familia nzima, karibuni sana.
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Cantaloupe Papai Pineple Watermelon Kwa wale wanaojali afya, hii ni aina ya breakfast unayoweza kutengeneza. Unaweza kuchanganya na yogurt pia.
15 Reactions
42 Replies
9K Views
Kwa anayeweza kunipatia hiyo recipe ya kuandaa bhajia za kunde anisaidie, Thenx in advance.
0 Reactions
25 Replies
36K Views
Wadau, Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)? Embu jaribu leo kisha nawe ushangae. Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Nisaidiwe namna nzuri kabisa ya kula ugali wa muhogo. Namaanisha vitoweleo vinavyoendana kabisa kwa chakula hiki.
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Habari zenu wapishi wote natumai mko salama Ningependa tujumuike pamoja katika kujifunza mapishi mbalimbali kupitia ukurasa wangu wa Instagram ambao nimefungua siku chache zilozipota.. Ukurasa...
16 Reactions
39 Replies
11K Views
8 Reactions
16 Replies
5K Views
Snacks made up of eggs are tasty and easy to make. Whenever we want to eat something healthy as well as tasty, one thing that comes to our mind is egg. Let us see how we can make an easy and quick...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitindamlo au dessert ni chakula kinacholiwa mwishoni mwa mlo. Mara nyingi huwa ni chakula chepesi na chenye sukari kama matunda. Binafsi, napenda sana sukari na siku nikiamua kupika lazima kuwe...
8 Reactions
19 Replies
7K Views
Jamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wataalam wa cocktail naomba mnipe mchanganuo wakutengeneza cocktail ambayo itakua mbadala wa bia katika birthday yangu ili kuokoa hela mana watu watakua wengi, nahitaji itayokua strong ya...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Salam kwenu wanajukwaa, kwamuda mrefu hili swala la namna ya kuandaa yogurt zenye ladha mbalimbali ie,vanilla limekua likinisumbua, kwa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada wa namna ya kuandaa...
1 Reactions
44 Replies
18K Views
Back
Top Bottom