Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi si mwanasheria lakini marafiki zangu wengi ni wanasheria na nimeshuhudia mijadala mingi ya wanasheria.
Lakini nilichogundua katika practice (siyo fani) ya wanasheria ni kwamba huwa inafika...
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji.
Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi.
Ni kweli Wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
Wakuu mje mtusaidie hapa sisi vilaza wa sheria,kumekuwa na kawaida ya watumishi wa umma kuviziwa wakiwa wamesinzia kwenye viti na kuwapiga picha kama ushahidi wa kutumbuliwa,kibiologia kusinzia...
Habari zenu?
Mtu fulani alifungua kesi ya madai dhidi ya mtu mwingine.
Mdai alishindwa kutoa ushahidi wowote ingawa mdaiwa aliwaita mashahidi watano (wawili kutoka serikalini).
Mwishoni wasaidizi...
IJUE SHERIA
Imeandaliwa
Na. Jose[emoji23][emoji23]
Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
Taratibu za mwenendo wa makosa ya jinai
TARATIBU ZA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI.
HATUA YA 1.
Nini maana...
Tafadhali wanasheria waliopo humu naomba mnisaidie kupata sheria ya elimu na. 25 ya 1978 katika mfumo wa PDF. Unaweza nitumia kwenye email :wankyo2017@gmail.com au whatsapp 0788218638 au ukaweka...
Wakuu,
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na HESLB kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, wanafunzi wa Law School of Tanzania sasa wanaweza kuomba mikopo Bodi....Sehemu ya 2.15...
Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili...
Habari ya jioni.
Kama kichwa cha mada kinavojieleza nnaomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikubaliana na rafiki yangu kuwa tushirikiane katika biashara ya uwakala. Yeye akaleta line ya till...
Hello wana jamvi,
Nina suala naomba usaidizi, bwana mdogo anafanya biashara ya TIGO pesa, mwezi mmoja uliopita alipoteza pesa kiasi ki kubwa kwa kukosea kutuma MUAMALA ipasavyo kwa bahati nzuri...
Nimeachishwa kazi na mwajiri na akanipa clearance form, nimefanya clearance na kukabidhi kila kitu, jambo ajabu kaninyima barua ya kuniondoa kazini. Anadai eti ataniita kwenye kamati ya ajira na...
Kuna jamaa yangu yamemfika. Habari kamili ni kuwa waliandikiana mkataba na kandarasi ili a supply material katika site iliyopo Rukwa. Huyo bosi mndarasi alikuwa Mbeya (anakoishi). Hivyo wali...
hivi hii kitu haiapply kwenye sheria zetu! mtuhumiwa anahojiwa na polisi publicly... anaropoka! coercive interrogation tactics kwa mtuhumiwa....inatufundisha nini kwa RAIA juu ya haki za...
Nawasalimu wanajf,
Naandika nikiwa na majonzi, huzuni na masikitiko moyoni na usoni.
Katika harakati za hapa na pale, nilikutana na mdada ambaye baadae katika kufunguka aliniambia kuwa ni mke...
Waungwana,naomba muongozo wa kisheria. Mitaani katika jiji la Dar kuna operesheni za usafi wa mazingira nyumba kwa nyumba. Kuna msafara wa askari wengi wakishirikiana na SUMA JKT wanapita kwenye...