Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Huyu mtu aliye jenga nyumba anakuwa ametumia fedha nyingi sana kujenga nyumba.
endapo anataka kuitumia kibiashara ni haki gani za msingi anazotakiwa kupewa mpangaji na ni haki gani za msingi...
Nina mchumba wangu ambaye alimaliza form four 2014, ila sasa ameamua kurudi darasani kama private candidate.
Naomba kujua je sheria inayozuia wanafunzi wasibebe mimba na yeye pia inamuhusu?
Nb...
MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE*_
na Warioba John.
Kulingana na watu kuwa wabunifu wa kutenda dhambi na kuongezeka kwa maarifa, tafiti zinaonesha ukatili wa jinsia unaongezeka na idadi ya talaka pia...
Namna ya kuripoti matumizi mabaya ya fedha za umma, naripoti vp?? - JamiiForums
Namna ya kuripoti matumizi mabaya ya fedha za umma, naripoti vp??
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi,
inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
Habari za muda huu wakuu, natumai mu wazima wa afya.
Kama heading ilivyo nahitaji affidavit yenye muhuri wa Mahakama shortly.Isizidi kesho saa 5.
Kama Kuna mtu anaweza nisaidia kindly send pm...
1. Imekua kuaje ndani ya siku 20 vigogo wa Telecoms waliokamatwa na kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi wa zaidi ya bilioni moja, tena serial offenders (Halotel, kila siku wanakamatwa) wameachiwa...
Kanisa libadilishe sheria ya Ndoa
Na Mwandishi Wetu-
WANAWAKE wa kanisa katoliki wamedaiwa kutoziheshimu ndoa zao kwa kutambua kuwa kanisa haliruhusu talaka.Kufuatia hali hiyo inayodaiwa wanawake...
Za jioni mawakili wasomi,
Naomba msaada wenu wa kupata soft copy ya sheria za barabarani make nahisi kuonewa sana na trafic barabarani.
Mpaka sasa hivi nimeandikiwa makosa manne ambayo bado...
Wapendwa, mwenye sample ya mkataba wa makubaliano , please naomba. uhusiane na udalali wa nyumba ya kitu. mkataba uwe unatoka kwa dalali wa nyumba/kitu kwenda mwa muuzaji/mnunuaji. hali imekua...
Kuna kampuni Ngare investment – Wamiliki wa hoteli ya NATRON PALACE iliyopewa uwakala wa kukusanya ushuru wa maegesho ya magari Arusha inawanyanyasa wafanyakazi wake.
Tangia wapewe tenda hiyo...
Habari wanaJF.
Naomba kujulishwa juu ya haki zetu wateja was hivi visimbuzi vilivyopigwa pink kuonyesha chaneli za ndani.
Je Kwa sisi tuliolipia gharama za mwezi,ili kupata huduma za ndani alafu...
Wadau,
Nipo jamvini kujibu maswali kuhusu kuachishwa kazi kwa matatizo ya kinidhamu, utendaji, uhitaji wa mwajiri kimajukumu na namna yoyote.
Nakaribisha na wengine kuongeza majibu na maoni yao...
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake.Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.