Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kupigwa tochi sehemu zenye zebra na hazina vibao vya udhibiti mwendo na kuna sehemu zingine hata kibao cha pedestrian crossing ahead hakuna , msaada tafadhali...
Habari za wakati huu wakuu humu ndani ,jamani mimi naomba kuuliza kwa wanaojua sheria za uhamiaji ,nina rafiki mmoja tulifahamiana sehem ya kazi yeye ni MCHINA sasa nimepata taarifa kuwa...
naombeni msaada wa kupata nyaraka hizi: kanuni za kudumu kwa utumishi wa umma, 2009(standing orders for the public service, 2009) na kanuni za utumishi wa umma, 2003 (public service regulations...
Nina ujauzito wa mtu ambae baada ya kugundua nina ujauzito akaanza visa vya kunikwepa na kunikana.
Sasa naona anataka anitelekeze na kuniachia majukumu mwenyewe. Amesema nijifungue kisha...
Kuna kijana alikuwa akifanya kazi katika kampuni flani ya wachina kama kibarua(hakuajiriwa) katika kufanya kazi akapata ajari na kupoteza mkono wake akiwa anafanya kazi
Kampuni ile ilimsaidia...
Hapa mtaani kwetu sasa hivi mnada umeahirishwa. Ilikuwa ipigwe mnada nyumba ambayo wenye nyumba walikopa 10m na dhamana ikawa nyumba. Nyumba yenyewe kwa tathimini ya muonekano inazidi milioni...
MARA nyingi katika mashauri ya madai, jaji au hakimu huamuru katika uamuzi au hukumu yake kwamba aliyeshindwa amlipe aliyeshinda gharama zote za kesi husika. Au wakati mwingine Mahakama huamua...
Nimenunua gari lakini mpaka linafika redio ilikuwa nzima na ghafla imeharibika. Ninahitaji kujua toka kwa wataalamu wa sheria nikiwa kama nimelilipia insurance comprehensive nahitaji Kampuni ya...
Shahidi wa 20 wa upande wa mashtaka, Celestine Mtobesya, jana aliwapa wakati mgumu mawakili wa upande wa utetezi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Erasto Msuya, wakati wa kujibu maswali...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa kama youtube channel inahusika na kusajiliwa ili itambulike TCRA kwa sababu nimeitafuta application form kwenye website yao lakini sikufanikiwa.
Asanteni.
Mara kadhb imesikika mtuhumiwa kulalamika kukiri makosa yake kwa sababu ya mateso makali alowakuwa akifanyiwa wakati wa mahojiano na polisi.
kwa wataalamu wa sheria,"JE SHERIA INASEMAJE JUU YA...
Nimekulia nchi ambayo kila mtu wakubwa kwa wadogo wanahamu kuwa ni mwiko mwiko mwiko kuvuka kwenye taa za rangi nyekundu na taa ya kijani ni salama salama salama always. Kila mtu kuanzia watoto...
Kwanza nimushukuru Mungu kwa kuonesha haki na kutenga ukweli na uongo.
Nichukue pia fursa hii kuwashukuru wanajamvi wote hasa waliotoa mawazo, ushauri na kutoa pridiction juu ya kesi yangu...
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu huu utaratibu wa kukamata na kushitaki mtu kwa madai ya kumpa mimba mwanafunzi. Tuachane na wale wanaobaka na kumpa mimba mwanafunzi, ambao tayari wana kosa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.