Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Leo katika mahakama ya mwanzo nimeshinda kesi ya kusingiziwa wizi, kesi hii ilindhalilisha sana mpaka kufikia hata mimi kukosa amani kutokana na historia nzuri ya maisha yangu kwa wananijua. Pia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo katika mahakama ya mwanzo nimeshinda kesi ya kusingiziwa wizi, kesi hii ilindhalilisha sana mpaka kufikia hata mimi kukosa amani kutokana na historia nzuri ya maisha yangu kwa wananijua. Pia...
1 Reactions
2 Replies
990 Views
Wasalaam Wandugu, Ningependa Kupata Msaada Wa Kisheria Kwenye Kesi Yangu Ambayo Hukumu Ilisomwa Tarehe 12 Mwezi Wa Tatu Na Kuonyesha Mi Ndo Mshindi Dhid Ya Jiran Yangu Aliyejenga Kwenye Eneo...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Habarini wandugu, baada ya kuona uhaba na uhitaji mkubwa sana wa vitabu vya sheria kwa kiswahili niliamua kujificha kwa mda ili nije na kitabu kitakachokuwa kimesheheni madini mbalimbali kuhusu...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Ni mwaka wa pili sasa na miez kadhaa tangu kaka yangu amefariki akiwa mwalimu,kama familia tulifanya taratibu zote kuhusu mirathi lakin paka sasa ni hakuna jibu,marehem ameacha watoto mke...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam Salaam!!!! Naomba kujua sheria inasemaje kwa balozi za nje kununua na kumiliki ardhi nchini? maana nimeona balozi mbali mbali zimewekeza nchini na kujenga ofisi na makazi, Mfano sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je msimamizi wa mirathi aki aga dunia ni utaratibu gani unafwatwa kumteua mwingine? Ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guys naomba ushauri kidogo kwa Lawyers, Law enforcement members, wanazuoni n.k. Kuna jamaa yangu kapatwa na tatizo kuna wageni walifika kwake, mdada na mkaka walikuwa wametoroshana, mdada...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalaam! Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, naombeni mnidadavulie maana ya terms hizi kisheria kulingana na sheria ya kazi Tanzania. -ukibaka mfanyakaz mwenzio ni criminal offense au fraud au gross misconduct ? Thanks in advance...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaka angu alishitakiwa mahakamani (makama ya mwanzo) kwa kesi ya wizi. Kesi haikuwa na ushahidi wa moja kwa moja kwani alihisiwa na jirani yake kuwa ndiye aliyemuibia na kupeleka kesi mahakama ya...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Good morning My Learned sisters and brothers. Hopefully, you are all doing great. Actually, we have to thank our almighty God for that. Learned sisters and brothers, I would like to remind you on...
1 Reactions
8 Replies
677 Views
Issue ni talaka shauri limeshasikilizwa ustawi wa jamii,mabaraza ya kata, na hatimae baraza la kata limeandika barua kwa ajili ya kwenda mahakama flani ya Mwanzo sasa mshikaji haelewi huko...
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Katika kesi inayonikabili baada ya kuendelea hapa mahakama ya mwanzo. Kufikia upande wa shahidi wa utetezi yaani mimi kama mtuhumiwa. Mbele ya hakimu nlisema ninao mashahidi 2, ambao ni mtu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye utaalam
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Wakuu habari, Katika sheria ya kazi hapa nchini ( Employment and Labour Relaton Act) ya mwaka 2004 inabidi ifanyiwe amendment. Sheria ile ni miaka 13 tangu itungwe. Sasa kuna viwango vya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam. Kama heading inavyosema. Naomba kufahamu maana kesi nyingi watuhumiwa wanasema waliteswa na askari polisi mf watuhumiwa wa kesi ya Msuya. Karibuni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina kesi tangu 2008, mpaka sasa bado inainaendelea. Tumeshinda kesi hiyo ktk ngazi ya usuluhishi, uamuzi na tukafika mahakamani kwa ajili ya ukazaji wa hukumu, hukumu iliakazwa na ikaamuliwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa miaka kadha sasa walimu wamekuwa wakilalamika kuhusiana na chama Chao cha cwt kuwa hakiwatendei haki hasa za kuwatetea kupata stahiki zao kwa mwajli ikiwa pamoja na kupanda daraja, mazingira...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom