Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini wapendwa
Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga
Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao...
Nilikuwa mpenzi wanguu ambaye tumebahatika kupata mtoto mmoja,mwenye umri Wa miaka miwili na miezi mitano sasa,lkn hivii karibuni niliaachana na mama wa mtoto huyuu lkn mtoto yupo naee ilaa...
Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo...
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata...
Dear JF
As we all are aware that the Government of United Republic of Tanzania through The Ministry of Information, Culture, Arts and Sports in March 2018 signed a regulation know as
THE...
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nina lengo la kusoma sheria ila katika mchakato wangu ninatafuta chuo nje ya nchi na malengo yakiwa ni...
Rais wa Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Fatuma Karume amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa idadi ndogo ya mawakili nchini, kwa wastani wakili mmoja hivi sasa anapaswa kuhudumia zaidi ya...
Ninaomba kujua sheria zinazozungumzia vyombo vya moto pamoja na masuala ya barabara Tanzania ukiachana na Road Traffic Act CAP 168 pamoja na The motor vehicles Act CAP 124. Naomba kufahamu kama...
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga...
Ms. Cecilia, a midwife went to the bank to withdraw money.
At the bank, a security officer decided to assist her, collects her cheque, bypass queue and hands over to the Teller Mrs. Aba Dadzie...
Habari zenu wadau wote wa JF.
Kuna mtoto alifiwa na mama yake mzazi mwezi wa kwanza mwaka huu, sasa baada ya msiba kuisha mtoto huyo hadi leo hajawahi kushirikiswa kuhusu ugawaji wa mali ya mama...
Ndugu wanabodi habari za muda huu.
Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Arusha nina mke na watoto wawili. Kwa sasa nimeajiriwa Kisiwani Zanzibar na mara baada ya kumaliza mkataba wangu natarajia kurudi...
Baada ya hakimu( mahakama ya mwanzo) kutuita mimi na mlalamikaji wangu kwa kesi ya wizi. Mlalamikaji alipewa mda wa kujieleza juu ya shida yake na akagusa yafuatayo ambayo kimsingi ni uongo...
Baada ya hakimu( mahakama ya mwanzo) kutuita mimi na mlalamikaji wangu kwa kesi ya wizi. Mlalamikaji alipewa mda wa kujieleza juu ya shida yake na akagusa yafuatayo ambayo kimsingi ni uongo...
Ukifuatilia kesi nyingi za serikali ambazo ama zinatupwa au serikali inashindwa utagundua kuwa sababu kuu ni ama kesi kufunguliwa kwa kifungu kisichohusika badala ya kifungu xy inafunguliwa kwa...
Habarini wapendwa
Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga
Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao...
za jumatatu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuhakikisha tunajenga nchi imara
Sorry, hili jambo kisheria ipoje
"Mtu kujidhuru, ikiwa source ni wewe mwenyewe"
Mfano ivi:
Niwe na mpenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.