Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Africa mashariki ni jumuia ambayo inapanuka kwa kasi kati ukandaa huu wa Africa. Nakumbuka jumuia ilianza na nchi Tatu Tanzania .Uganda na Kenya.
Lakini kwasasa jumia ya Africa mashariki...
Napenda kuuliza hii ikoje
Nina kesi mahakamani ambayo nimeikatia rufaa kutoka mahakama ya wilaya kwenda mahakama kuu niliwasilisha rufaa yangu mwezi 10/2017
Nikapangiwa tarehe yakuludi mwezi...
Salaam,
Mimi nina kiwanja changu hapa Dar. Upande wa kushoto wa kiwanja changu nikaamua kuwacha njia ya watu kupita na magari madogo. Sasa mtu ninaepakana nae kaamua kupanda mahindi kwenye ile...
Wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria. Nilinunua kiwanja kabla ya kuwa n.a. mchumba. Baadae nikapata mchumba lakini kabla hatujafunga ndoa nikawa nimejenga nyumba hadi kiwango cha Renta. Baadae...
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani amepata au kukumbana na upinzani kwa maneno na vitendo. Aidha anashutumiwa na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kuwa anawanyima uhuru wao wa kuendesha...
Habari wana jukwaa,
Naomba msaada wa kisheria juuu ya kakosa ya barabarani, kuna gari nimepanda lilikua limewekwa kitambaa me anzo wa kiooo cha mbele mwanzo hadi mwisho kama vile mtu anavyoweka...
Kuna jirani angu tarehe 22.03.katika maelezo yake alidai mnamo mda wa saa saba usiku alikuwa ameweka simu 2 na computer juu ya meza karibu na dirisha.
Kipindi amelala aliskia watu wanagusa kitasa...
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...
Story iko hivi,
Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama...
Nawasalimu wakuu,Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi nimeomba likizo ya mwaka na kukubaliwa ila kuna jambo linanitatiza nqaombeni kufahamishwa, kile kiasi cha mshahara unachopewa cha mwezi mmoja...
Kama mtu akikuibia kitu chako ipo sheria ya kumtia hatiani kwanini isitungwe sheria juu ya hawa wanaochukua wake za watu? mana mtu kawekeza, anaghalamia kila kitu ila mtu anakuja anatongoza...
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.
MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER
Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER.(magari zaidi ya...
Ndugu wana jf nilipoteza pesa katika account yangu ya benk ambayo pesa hiyo ilihamishwa kwenda kwenye namba ya simu ya mtu nisiyemfaham nilifuatilia namba hiyo mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka...
Naomba kuuliza maswali kama ifuatavyo
1. Endapo mweyekiti wa mtaa anaumwa au amesafiri
a) ni nani anatakiwa kufanya kazi zake na anapatikanaje na kwa sharia au kanuni ipi?
b) Mhuri wa...
Zimepita wiki mbili toka nilete uzi kuhusiana na kesi ya kusingiziwa wizi na mshitaki wangu kulazimisha nimlipe hata nusu ya gharama ili kesi iishie polisi.
Kutokana na kuwa na ndugu huko polisi...
Najiuliza tu !!kuingilia mawasiliano ya MTU bila idhini Yake siyo kosa kisheria!!
Kwa kauli ya mh Lema ni kuwa anaingilia mawasiliano ya serikali!!
Hii ikoje?
Naomba nijuzwe,
Je, kuna sheria yoyote inayonikataza kutamka hadharani kuwa namchukia rais wa nchi mfano Rais Magufuli?
Maana sitaki nivunje sheria mimi ni mtiifu kwa Katiba.
Naomba majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.