Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Niliibiwa fedha account ya benk baada ya kufuatilia mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka Polisi ndugu wa mtuhumiwa waliomba tuyamalize pale polisi kabla ya kufika juu zaidi tulikubaliana tarehe ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa. Nauliza vigezo vya kujiunga. Na diploma ya sheria kutokea ya O level
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Habari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamona elimu ya SHERIA, naomba kuuliza =>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahid au mashahid...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono Na Eliasa Ally, Iringa MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, imemhukumu kifugo cha miaka mitano Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wataalamu wa sheria, Hv majuzi nilisoma gazeti la mwananchi huko mkoani Tabora kuna Baba amembaka binti yake wa miaka 16 zaidi ya mara moja na kumpa ujaauzito, kumkatisha masomo ya sekondari...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina kesi inahitaji kwenda mahakama ya mwanzo kwa mwanasheria nakuhitaji kwa baadhi ya maelekezo ya awali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nahitaji mtu anejua sheria aliepo dar es salaam nikutane nae nimpe kesi nzima anisaidie maana naona sikutendewa haki.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Kichwa cha habari hapo juu kinahusika, nauliza kuhusu taratibu za kupata kibali cha kwenda Australia wa ajili ya mtu anayetaka kwenda kupumzika likizo au kutalii. Taarifa za...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
wasalaam. Niemnde moja kwa moja kwenye swali, kijana wa kazi za ndani wa dada yangu amepata ajali asubuhi hii, akiwa njiani kuelekea sokoni, aliemgonga amekimbia, wasamaria wema wakamkimbiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sheria ya Watoto na Mikataba ya Kimataifa Kuhusu Watoto zinazuia vitendo vyote vya adhabu katili na zisizo za kawaida. Bila shaka hii inahusisha adhabu ya viboko. Sivyo? Kwa nini basi adhabu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi nimekuwa terminated na kampuni fulani, baada ya kupewa termination benefits naambiwa natakiwa nirudishe kwa kampuni fedha ya likizo niliyochukua January, housing allowance pia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
'Ni wajibu wa asili wa wale waliobahatika kupata elimu kutumia elimu zao kuwaelimisha wale wasiokua na elimu'-Mwalimu. Mimi ni muumini wa mtazamo huu Mwalimu juu ya elimu. elimu hii maanaishi...
17 Reactions
29 Replies
5K Views
Niliwahi kuhoji kwa nini wanafunzi wengi wanafeli katika shule ya sheria watu walikuja juu humu jf kuwa wanafunzi hawasomi,lakini juzi imegundulika kuwa wanafunzi wanafelishwa makusudi na mwalimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamoja na elimu ya SHERIA, naomba kuuliza =>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahidi au mashahidi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau,niko chini ya miguu yenu,naombeni mniwekee hukumu za kesi mbalimbali za nchi hii
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni hatua gani ambayo natakiwa kufuata.Nilimpa pikipiki jamaa mmoja hivi awe anaendesha kwa mkataba wa kuwa ananipa sh elfu 10 kwa siku baada ya miezi Nane pikipiki ingekuwa yake,baada ya wiki tatu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika agizo la or-tamisemi la kuwaagiza wakurugenzi kuwarejesha watumishi wote wa darasa la vii walio waondoa kazini kwa makusudi na kwa manufaa yao binafsi,hadi kufikia leo hakuna utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Wadau wajuzi wa sheria, naombeni mnisaidie juu la uwepo wa sheria ya hotel levy namba 23 ya mwaka 1972 ambayo inaelekeza mmiliki wa nyumba ya kulala wageni (guest house) kulipa 20% ya mapato yake...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani eti mfanyakazi akifanya kazi miaka sita halafu mwajiri akasetisha mkataba haki zake Ni malipo Gani ukiacha nssf au ppf. Akipunjwa afanyeje ili kudai haki yake? Please help
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Inakuwaje pale nyimbo ya msanii imefungiwa hapa nchini je ataruhusiwa kuipiga au kuicheza nje ya nchi? Mfano Diamond kafungiwa nyimbo zake flani na huku kachaguliwa kushiriki kuandaa nyimbo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom