Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna sheria tofauti zinazotumika kuwapandisha vyeo wahasibu kutoka daraja moja hadi jingine?, maana unaweza kukuta mhasibu mwingine anaendelea wakati wengine wengine wanaishia daraja la chini...
Wanajamvi naomba mwongozo juu ya hili kisheria.., dadayangu alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi moja kubwa jijini dar es salaam, amefanya kazi katika ofisi hiyo ya binafsi kwa muda wa miaka 8 lakkni...
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote...
Wanajukwaa naomben msaada wa kisheria nimeuziwa biadhaa iliyo kwisha expay njia zp ninatakiwa nizifate kisheria
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite wa mahakama ya Hakimu Mkazi - Mbeya, amegoma kujitoa katika shauri linalo mkabili mbunge wa Mbeya mjini , na Katibu wa Kanda ya Nyanda za juu kusini, Emanuel...
Wadau na wataalamu wa mambo ya sheria naombeni kujua kama kuna sheria inayonilinda mimi kama mteja wa masiliano ya simu za mkononi juu ya matangazo yanayotolewa na kampuni za simu kuja kwa wateja...
Ikiwa wazazi wa mtoto sio Watanzania kwa muda mrefu lakini wanaishi TANZANIA Baada ya muda wazazi wale wakachukua uraia Wa TANZANIA lakini pindi wanaandikishwa kuwa raia wa Tanzania mtoto huyo...
Heshima kwenu wakuu,
Hapa chini nimewawekea viambatanisho vya sheria mbili.Sheria ya jeshi la Polisi na huduma saidizi na Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. Hii itaweza kuwasaidia Polisi...
Ukisoma sheria ya ndoa inaeleza kuwa mtu akitoweka kwa muda fulan bila kuonekana wala kutopatikana kwa taarifa zake mahakama inaweza kutoa maamuzi ya kusadikika (prusumption of dealth) kuwa huyo...
Naomba kupewa ufafanuzi ndugu zangu mliobobea katika masuala haya ya Sheria,hivi askari anapokuwa katumwa katika operesheni fulani kwa ajili ya kudhibiti amani lakini ikatokea akajifyatua na...
Naomba kuuliza wadau wa sheria. Niriajiriwa bank na baada ya miezi sita nikapewa mkopo wa 10m na nikawa nalipa nikiwa mfanyakazi hapo bank. Nikapata fursa ya kuitwa na mwajiri wangu wa zamani kwa...
Habari wana jukwaa, naomba msaada wa kisheria kuhusu effects ya understated share capital /nominal share katika kustate shareholding in private limited company
Mfano unaweza sema the company...
wakuu naomba kuuliza kwa anayejua namna hesabu ya kumlipa mfanyakazi aliyeachishwa kazi gharama ya kumsafirisha.
na kila jambo linalohusu gharama za usafiri
muhimu sana.
"Habari za wikendi wakuu,
Natumai mko njema, baadhi mnaosumbuliwa na afya niwape pole na kuwatakia kheri mpone haraka.
Moja Kwa moja niende kweye kile kinachonifanya niandike uzi huu Kwa...
Wanajamvi habari za mchana, nina iman kila mmoja anapigina kwa nafsi yake ili kupata unafuu wa maisha....
Nisiwachoshe, habari yenyewe iko hivi.....
Kuna mtu ambaye nlikuwa...
Ikitokea mtu amefanya kosa au anatuhumiwa kwa kosa fulani,JE SHERIA INARUHUSU MTU HUYO KUHOJIWA AU KUULIZWA CHOCHOTE KUTOKA KWA POLISI AKIWA MBELE YA KAMERA NA VINASA SAUTI VYA WAANDISHI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.