Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hivi jamani wadau huu usafi wa jumamosi umekuwaje? Ni kila jumamosi ama?
Leo naelekea kazini nasimamishwa kwanini huendi kwenye usafi na kweli watu wengi walikuwa wanafyeka.
Nikazozana nao kidogo...
Mihanyenyi JF
Naomba kujuzwa wakuu swala hili la mtu kujiapisha Nchi yenye Rais ni sawa kama sio sawa kwanini hajachukuliwa hatua?
Upande wa serikali kuyuzuia hilo swala nao hawajavunja sheria...
Naomba ufafanuz ktk hilo na Kama ndio ni aina zipi za kesi ambazo zikfutwa yaweza zkarudshwa mahakaman!?
Natanguliza shkrani na Kama kutakuwa na Maelezo zaidi ntajibu na kufafanua zaidi
Tumeona nchini Kenya yule aliyemuapisha Odinga amekuwa ‘deported’ kurudi Canada kwa kuwa alikuwa na uraia pia wa Canada, kwa lugha nyingine amenyang’anywa uraia wa Kenya (sina uhakika).
Swali...
Hongera CJ
Napenda kukushauri huu utaratibu wa "session" uufutilie mbali kwani unachelewesha haki za raia.
Unakuta majaji wapo na wanalipwa mishahara yao kila mwezi lakini kesi haziendi...
Habari wadau
Nimeona kwa mawazo yangu hakuna maana ya kesi za jinai au madai dhidi ya mashirika na taasisi za serikali ziendeshwe na wanasheria wa mashika na taasisi hizo kwani wamekuwa...
naomba kujuzwa kuna taratibu gani wakili anayekusimamia kesi, anapokufanyia udanganyifu wa tarehe za kesi kwa kupeleka mbele zaidi ,ili kufanya usihudhurie mahakamani na kusababisha kuonekana...
Cyber crime
KWA KISWAHILI NA KWA UREFU ZAIDI;
Umoja wa Ulaya Waiasa Tanzania Kuhakikisha Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni ya mwaka 2015 Haikiuki Haki za Raia Wake.
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya...
Nimeolewa miaka minne iliyopita na Nina watoto wawili,miaka miwili iliyopita tulihitilafiana na mume wangu tukatengana baada ya pale alisusa kuhudumia watoto kwa kilakitu ninaishi na watoto wangu...
Ndugu wanajamii forum. Nina jamaa yangu mmoja ni mtumishi katika taasisi moja maalufu hapa nchini amefanyiwa vitendo vinavyoonyesha chuki dhidi yake ili labda kumlazimisha aandike barua ya kuacha...
Habari wadau wote wa jukwaa hili. Iko hvi mnamo tarehe 12/1/2018, nililikata tiketi ya basi hyo tajwa hapo juu. Nililipia pia mizigo ya furushi nne zenye nguo na viatu na nikahakikisha...
Wadau nataka nifanye mtihani wa form six kombi ya EGM au Historia na GM,mimi ni mtumishi wa serikali nimerudia mtihani mwaka jana nimepata nilichokitafuta matokeo ya kwanza nilikuwa na C mbili...
Habari wakuu,
Mimi na mchumba wangu tumekuwa na mahusiano toka first year mpk leo mwaka wa tatu huu. Kwa kuwa tunaishi hostel, tumekuwa tukifanyia mapenzi yetu gesti fulani hivi kwa muda wote...
KESI YA MAUWAJI YA YESU
FUATILIA ZAIDI.
Dola Indidis ni mwanasheria kutoka Kenya aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). Anadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya...
Sorry guys naomba kujuzwa kidogo. Hivi mpangaji akiomba kupatiwa notis ya kutoka kwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodi. Anaweza kwenda tena Baraza la ardhi kuweka zuio la kutoka baada ya muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.