Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu kwanza nitangulize shukrani zangu hasa unapofikiri kunipatia msaada katika hili.
Kuna kampuni moja kubwa tu hapa kwetu ila kitu kinachosikitisha ni namna inavyohusiana na wafanyakazi wake...
Kaka yangu alifariki Jan 2017. Mei 2017 mirathi ilifunguliwa mahakama ya mwanzo Temeke. August 2017 hundi za pesa za mirathi ziliwasilishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kugawiwa kwa wahusika...
Naandika kwa masikitiko makubwa Sana, nlitokea kuwa na mahusiano na binti wa kiislam kwa muda wa miezi sita nikampenda Sana, mimi ni mkristo, yeye hakuwa na msimamo mkali sana kwenye dini kwaio...
Mie niko kahama jana nilijisahauusiku nikapita barabara ya one way basi nikakamatwa na trafic na leo nimeambimbiwa nitoe laki 2 kwa kuwa nikosa la kwanza.Swali je adhabu ya kosa hilia inastahili...
Ndugu watanzania,
Redio kadhaa na magazeti zimetuambia tar 30 Oct wana review tena kesi ya Babu Seya na wanae waliofungwa maisha milele kwa kubaka.
Tukisubiri usanii tena wa serikali...
Mfano umeajiriwa na mtu binafsi, nafasi ya kumuuzia duka au mhudumu wa afya n.k, na ukamtumikia kwa muda wa miaka zaidi ya kumi, halafu akaamua kusitisha shughuli zake yaani akafunga duka lake au...
Kauli hii ya Jaji wetu Mkuu ina maneno machache sana lakini ina ujumbe mkubwa sana kwa watanzania wote. Watu wamezoea kulalamikia uvunguni, sitting room, maofisizi, kazini, barabarani, vijiweni...
Habari za Majukumu,
Naomba kufahamishwa namna/hatua za kufuatwa ili kuukana Uraia wa Mtoto Mtanzania aliyepo Tanzania. Mzazi wake Mmoja ni Mtanzania na mwingine sio Mtanzania.
Natanguliza...
Je naweza kuhama NSSF na kujiunga na PSPF? cha msingi ninachotaka hela zangu zote zilizoko nssf zirudi kwenye akaunti ya pspf naomba msaada wenu kama kuna uwezekano mnielekeze jinsi ya kufanya
Kichwa cha barua kinajieleza. Ni muda UPI mwananchi akipeleka malalamishi yake kimaandishi inatakiwa yajibiwe! Hapa reference iwe hizi local government.
Kama kipengele hicho kipo, naomba mniwekee...
Naomba kueleweshwa kuhusu sheria hasa pale unapokosa imani na hakimu anaesikiliza kesi yako na wewe kumkataa.. Je nini hutokea, na ikiwa hakimu amegoma kujitoa ni hatua zipi mshitakiwa au mshitaka...
Serikali, Bunge na Mahakama ni miti mikuu 3 ambayo inapaswa ijitegee kwa mashina, matawi na majani ingawa mizizi yao huko chini ya ardhi huenda itawa inawasiliana kwa namna moja au nyingine...
Wana JF,
Nimefuatilia mijadala mimngi hapa JF inayohusu swala la mafao ya kujitoa.
Nimeona kuwa watu wengi hawajui kuwa mafao ya kujitoa PPF yapo kisheria na kudhani kuwa mafao hayo yanatolewa na...
habari wana jf, kuna kesi nimeisikia mahakama flani hivi ikiwahusisha mchimba kisima na mteja wake sasa mteja alimpa kazi ya kuchimba kisima jamaa huyo katika makubaliano walikubaliana kuwa kisima...
Swali kwa manguli wa sheria...Ngoja nianze kwa salamu kama ya mmoja wa great thinker wa jamiiforums. Umuofia kwenu..Baada ya salamu ningependa kwenda moja kwa moja kwenye swali langu.
Ulipoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.