Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna mtu tunabishana kuwa ukipatikana na hatia na Mahakama ikakupa ADHABU na baada ya muda fulahi ukapata msamaha Wa Mh .Rais ni kwamba utakuwa Huru ila ile hatia ya Mahakama itaendelea Kubaki...
Juhudi haishindani na kudra.
Msamaha wa akina babu Seya umetia maji na doa harakati za vikundi vya wanawake kupambana na uonevu mkubwa dhidi ya watoto wa kike. Nia ya kuwasamehe ni nzuri sana...
Habari wanajamvi??!!!
Ni matumaini yangu kuwa lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni Kudumisha ustawi wa jamii; kumwokoa mwanachama kutokana na hali ngumu ya kimaisha pale inapobidi kwa mfano...
Wakuu wa JF,
Heshima mbele.
Kuna mjadala uliokuwa unaendelea JF kuhusu kuonewa ama kutokuonewa kwa Babu Seya na Wanawe.
Jisomeeni muamue wenyewe kama alionewa ama la!
Enjoy reading
Nikiwa nasoma chuo bila kujua sababu nilipata barua kuamishwa kikazi kutoka Dar kwenda Mpanda na nililazimishwa niende bila kulipwa. Kweli nilienda kuripoti kwa gharama zangu nikaomba ruhusa siku...
Habari wanabodi,Kumekuwa na mkanganyiko katika tafsiri sahihi ya uhuru wa maoni ulioruhusiwa kikatiba
Uhuru wa Maoni Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu...
Serikali ni taasisi kubwa sana, ina macho, masikio na mikono mingi ya kuweza kuona, kusikia na kufahamu jambo kubwa kama wizi wa escrow. Inafahamu kuwa Ruge ametumiwa tu kama bomba la kupitishia...
Naomba kufahamu kama ni lazima kukatwa agency fee kwenye mshahara wa Mtumishi. Mfano walimu kukatwa 2% kila mwezi kwenye mshahara wao. Je ukijitoa kwann hyo 2% wanadai inaendelea kukatwa mpaka...
Salaamu wakuu wa jukwaa hili..
Nilikuwa na swali moja juu ya ukomo wa muda wa kwenda kuripoti tukio la mtu aliepotea maana tulienda kuripoti tukio la kupotea kwa ndugu yetu katika mazingira ya...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi.
Nahitaji msaada wa kisheria na kielimu ili niweze kufikia ndoto zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa kitivo cha elimu chuo kikuu SAUT mwanza compus. Nikisoma Bacheral of Arts...
Bodi yetu pendwa ya wahasibu na wakaguzi huwa wana utaratibu wa kutoa matokeo mapema kabla ya Julai kwa mitihani ya May na kabla ya mwaka mpya kwa mitihani ya November.
Kwa hii mitihani...
A FEW DAYS AGO I GOT DECISION (TUZO) FROM CMA KINONDONI THAT MY FORMER EMPLOYER SHALL PAY ME TZS 3,000,000/=. THE CASE WAS DECIDED EX-PARTE. MY EMPLOYER FAIL TO COME TO THE HEALING LAST 3 TIMES...
Nina nyumba ya ghorofa nne eneo la mjini. Ninahitaji kuibadilisha iwe kwenye units property ili niweze kuuza baadhi ya units na zingine kupangisha.
Wenye utalaam wa kisheria juu ya hili mnisaidie.
nilifukuzwa kazi miaka mitano iliyo pita katika kampuni flani..
Sasa mahakama imeamuru nirudishwe kazini na kulipwa mishahara yangu yote..
Nataka kujua je mshahara wangu utakuwa ni ule ule...
Naombeni msaada wenu kwa anayefajamu,,Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi kwa miaka 12 bila kuajiriwa wala kukatiwa NSSF kuanzia march 2006 hadi November 2017,,sasa wameniachisha...
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
*BABA MDOGO ANATAKA KUTUDHULUMU NA KIWANJA PIA!*
*Haki itachelewa lakini haidhulumiki*
Baada ya baba kufariki,aliacha mali kadhaa zikiwemo nyumba mashamba viwanja n.k hivi vyote vilikuwa chini...
Habar wanabodi,
husikeni na mada tajwa hapo juu.Moja kwa moja kwenye mada
Kuna shamba/kiwanja ambacho Mama yangu mzazi alianza kukimiliki kuanzia mwaka 1972 (During an era of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.