Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kumekuwa na Kesi za wanafunzi kupewa mimba au kufanya mapenzi kabla ya umri wao yaani chini ya miaka 18, swali kama watoto wetu hawa wanajua fika kufanya mapenzi chini ya miaka 18 ni kitendo cha...
Habari ya leo,
Nina matumaini wote wazima.
Mimi nimepata mkasa tangu tarehe 12.11.2017, nilienda kununua simu Kariakoo, mtaa wa Aggrey, nikauziwa simu Nokia fake, ambayo nilifanikiwa kuirudisha...
Salaam wadau namshukuru Mungu nimekua mmoja wa waliochaguliwa kujiunga na Law school kwa mwaka wa masomo wa 2018 lakin nina shida moja ya intake, niko intake ya June kama kuna mtu aliyechaguliwa...
Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati...
Nimefanya kazi kampuni moja wa wahindi tangu mwezi wa tatu mwaka 2006 hadi November 30 mwaka huu kwa kipindi chote hicho sikuajiriwa wala kukatiwa NSSF Leo,,kwa sasa wameniachisha kazi,,je naweza...
Naomba ufafanuzi wa kisheria! Sheria inasemaje iwapo mali imewekewa zuio na mahakama na mmiliki kulipangisha, kuikodisha au kuiuza mali hiyo na hatimaye kutoroka, je, mahakama inaweza kutoa amri...
Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception hasa katika mitandao. Na je penalty zake zikoje. Je naweza kupata document yoyote nikasoma kupata ujuzi? Naomba msaada maana kuna mtu...
Habar wanabodi,
husikeni na mada tajwa hapo juu.Moja kwa moja kwenye mada
Kuna shamba/kiwanja ambacho Mama yangu mzazi alianza kukimiliki kuanzia mwaka 1972 (During an era of...
"Ninapozungumza hapa tu, pamoja na kwamba sitakiwi kuhukumu, mwenyekiti wenu wa Umoja wa Vijana yuko rumande kwa kushikwa na rushwa. Huo ndio Umoja wa Vijana tuliokuwa tunaenda nao."
Sasa kama...
Waku habari za leo. Nataka kuzungumzia hii hykumu ya kunyingwa asubuhi ya leo.
Ni kwamba Ibara ya 14 ya katiba ya Tanzania inatambua haki ya mtu kuishi na inahakikisha ulinzi wa raia. Hivto...
SADI YAKUBU ANASEMA HIVI:
Picha hapo juu inaashiria utumiaji wa nguvu kubwa kuliko ''kosa'' lenyewe. Wanakijiji wameandamana kuomba wenzao waachiliwe, wakitaka maelezo ya msingi ya kukamatwa...
Kwa ufupi
Kuna binti aliolewa na jamaa mmoja toka 2015. Mwishoni mwa mwaka jana ikatokea mtafaruku kati yao wakatengana toka mwishoni mwa mwaka jana mpaka hivi karibuni.
Mtafaruku ulisababishwa...
Natangaza kusudio langu la kuwapeleka TBA mahakamani na watanzania wote wazalendo naomba mniunge mkono kwa kunipatia kila aina ya msaada ili kuwatia nguvuni.
TBA watakabiliwa na makosa...
Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo
with regards and respect.
===================
ONLINE REPORTER,
11th February 2010
Daily News
THE Court of Appeal has sustained both conviction and life...
Wana JF naomba Ushauri na msaada wenu katika hili.
Nilikuwa masomoni katika chuo kimojawapo hapa Tanzania, kwa masomo ya shahada ya elimu (Sayansi) kwa mchepuo wa Fizikiana na Chemia, Bachelor of...
Morocco's king revokes pardon for Spanish pedophile after protests
By Mohammed Tawfeeq, CNN
Updated 1534 GMT (2334 HKT) August 6, 2013
[paste:font size="5"]
Paper swap may...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.