Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MATUMIZI YA SIMU BARABARANI, JE SHERIA INASEMAJE?
Muda mrefu sasa kumekuwa na maoni tofauti kuhusu matumizi ya simu barabarani wengi wakitaka kujua ni kosa au sio kosa. Na kama ni kosa je ni kosa...
Alifungwa jela miaka 30 akituhumiwa kuua, lakini alipotoka gerezani akamuona aliyedaiwa kumuua, sasa kwa hasira akaamua kumuua, je sheria inasemaje au atahukumiwa tena kwa kuua?
Ni hayo tu kwa sasa.
Habari mabibi na mabwana
Natumai wanachama wenzangu wote mnaendelea vizuri. Kuna jambo ninaomba kutoka kwenu msaada juu ya kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mkataba wa kazi kama unaisha karibu na...
Habarinin za jini
Jamani mwaka jana zimetoka regulations za civil procedures na Criminal Procedures mwenye nazo tafadhali nirushie
anthonyalnashir@gmail.com
Wasio wanasheria mjue kwamba Tanzania Law Report (TLR) ni kitabu chenye case zilizoropotiwa ili zitumike kwa reference. Kitabu hiki huwa kina kesi za kila mwaka.
Sasa, imepita karibu miaka 12...
Wataalam wa Sheria tuwekane sawa hapa.
Hivi, Sheria za Jamhuri yetu zinasemaje kwa mtu kuwa na dhamira ya kumdhuru mwingine lakini akitegemea kumshirikisha Mungu?
Pili, Ikitokea Ushahidi wa Nia...
Naombeni kusaidia kipengele cha sheria kinachoamuru muziki unapogwa bar au sehemu yotote ya starehe kuwa mwisho saa sita usiku.
Kijijini kwetu Mama yangu ni mgonjwa,na jirani kuna Bar/Ukumbi...
Wanasheria Yamemkuta Ndugu Yangu Muajiriwa wa zamani wa Tanroads Pwani, alifukuzwa kazi kwa makosa yasiyo na kichwa wala kutofuata taratibu akafungua shauri CMA kibaha mwaka unaisha sasa , sasa...
Ndugu wanasheria naomba msaada juu ya umuhimu & applicability ya Audi_alteram_partem(listen to the other side) kama principle mojawapo ya natural justice ,,,
Nawasilisha
Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha imegubikwa na Mahakimu ambao hawafuati kanuni ya kazi yao na badala yake wanaonea wananchi kwa vile wanatumia utaratibu wanaoujua wao wenyewe.
Utakuta mara...
Habarini kwenu,
Nianze kwa kupongeza uamuzi huo wa kuwaondoa wanasheria wote kuroka wizarani,taasisi na mashirika ya umma kwenda kwa AG.
Kwa kweli napendekeza kesi zao zote walizokuwa...
1. Mh. Jaji Mkuu, mhimili wa mahakama pole pole unajenga tabia ya mahakimu na baadhi ya majaji kupuuza sheria na kuwanyima watu dhamana. Tabia hujengwa na ISIPOKEMEWA HUOTA MIZIZI NA IKASHIKA...
In India, the statute is published only once in a government notification called "The Gazette of India" published by the Directorate of Printing, Department of Publication under the Ministry of...
Ndugu wananchi wa Nchi hii nzuri ya Tanzania, napenda kuwaalika watalaam wa sheria -Learned Fellows kutusaidia sisi wanafunzi wa fani ya Sheria kuhusu Doctrine ya presumptions of innocence dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.