Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu zangu assalaam alaykum
Nimeletewa ombi ambalo nawasilisha kwenu kuhusu wakili anayefahamu lugha hizo mbili au moja wapo kati yao.Kiingereza na Kiswahili kwa leo sio shida.
Nawaombeni msaada...
Amtetea Profesa Mahalu
Ashangaa mashitaka yake
Amtaja kuwa mwadilifu
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisindikizwa kuelekea chumba cha mahakama kutoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya...
Niliangusha hela 350000 Kuna jamaa ameokota hiyo hela 350000 alafu kakataa kwa kusema ameokota 30000 mashaidi wapo waliomuona akiokota hela kesi IPO mahakamani naombeni ushauri jaman kwa maswali...
Mara nyingi nimesikia mipaka ya mahakama ya mahali fulani au jurisdiction lakini huwa siielewei vizuri. Labda niweke swali, je mahakama ya mwanzo iliyo katika tarafa A inaweza kupokea na...
Habari wana Jamvi;
Ningependa kuuliza swali,iwapo imetungwa sheria mpya ambayo ama inafanya jambo lilitokea au ambalo liko katika process ya kutokea kuwa ni kinyume cha sheria mfano:
Iko...
Hamjambo? Miaka mitatu iliyopita nilinunua kiwanja huku Unguja lakini waliniambia nitumie jina la Zanzibari (hata sheha alisema hivi).
Mimi nilikuwa na wasiwasi kwa hiyo nililazimishwa yule...
Wakuu,
Ni Japi yupi ambaye hukumu zake unapenda sana kuzisoma?
Haijalishi,awe ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Rufaa!
Mie binafsi nazikubali hukumu za Samata J,.!
Ana good command of English language na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Ningependa kupata ufafanunuzi wa kisheria kuhusu umri wa mtoto ambao mzazi anakuwa anawajibika msomesha mtoto na aina ya elimu kwani nina mtoto wa marehemu...
#Nimeona niongee kidogo kuhus hili la Maandamano.
Nimekuwa nikisikia kuwa kwa Tanzania maandamano ni haki ya kikatiba. Nimewahi kuisoma katiba yote ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania sijawahi...
Habarini wandugu,poleni na majukumu ya hapa na pale.Mimi najishughulisha na ufundi simu,je nami natakiwa kwenda kukata lesen ya biashara kwa kazi hiyo?
Kikatiba ni wakati gani maandamano ya wanachi yanapokua halali na wakati gani yanakua haramu?
Je maandamano ni hisani kutoka polisi?
Je katiba inasema maandamano halali ni yale tu ya kuunga...
Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote
Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali
Hivo basi...
Habari wana jamvi...!
Ninaomba nitoe story fupi kisha mnipe msaada wa kisheria.
Kuna mdogo wangu alimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano mwaka 2016. Lakini mwanafunzi huyo alimaliza darasa la...
Chukulia katika mazingira ambayo ninauhuru (wa kikatiba) kuchagua dini yyte ile ninayoitaka. Na uhuru huu ninayo haki ya kuutekeleza wakati wowote ule. Sifungwi kubaki kwenye dini fulani.
Katika...
Ndugu wapendwa nawasalimu katika bwana na Mohammad
Mara nyingi napopata matatizo katika shughuli zangu napenda kuwashirikisha ili nipate pa kuanzia.
nawashkuru sana wote ambao hunipatia msaada wa...
Wasalaam ndugu zangu,
Naomba kupata msaada au ushauri wa kisheria,
Kwa kifupi no kuwa ,kuna jamaa aligonga gari yangu kwa uzembe wake ikiwa imepaki, alisababisha uharibifu mkubwa sana kiasi kwamba...
Mm nafanya kazi kama nmb wakala, sasa tarehe 26 mwez December, nilijichanganya baada ya kumwekea mteja 500000 nikamwekea 5m, nikamgundua kwa kuwa ni mtu wa karibu akahaidi kurudisha, baadae...
Wakuu habari za saa hizi, ningependa kujua baadhi ya haki zangu kama nimesimamiswa kazi, mfano kikao cha maadili kilika tarehe 4 mwezi wa 2, ila barua ya contract termination ikaja tarehe 24/02...
TLS kwa muda mrefu hasa watumïshi wake wamekuwa na fedha nyingi tofauti na mishahara yao ya 1.5 mpaka 2.5 milion.
Wanapïa hela kwenye mikutano ya mwaka na nusu mwaka AGM, HAGM.
Wanapokea hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.