Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu,
Hivi ikitokea mti uliopo kwenye eneo lako(kwa maana ya ardhi) ukaangukia upande wa jirani mnae pakana nae na ukaleta madhara yawe makubwa kama kuua au madogo mfano kulalia bati...
Tangu Uhuru sijawahi kuona kile nilichokiona mwaka huu Kwa Mh. mkuu wa mkoa DSM kupongezwa na Askari. Kwa tusiofahamu ile ni kawaida au kuna sheria fulani ilivunjwa?
Kuna mama mjane amenifuata akiniomba nimsaidie kesi yake ambayo amefunguliwa baraza la ardhi la kata.
Kesi yenyewe ipo hivi mme wake ambae ni marehemu kwa sasa (miaka 20 tangu afariki)alikuwa na...
Kifungu cha 61(1)(v) Cha Sheria ya Elimu Sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002, kinampa mamlaka waziri wa Elimu kutunga kanuni za masuala mbalimbali zitakayokidhi utekelezaji wa masuala ya sheria...
Unawezaje kuwa Solicitor ( Advocate) juu ya mtu aliyeambukizwa VVU kwa makusudi ukizingatia adhabu juu ya mshtakiwa Na kuifunza jamii kuwa ni kosa kisheria kufanya Maambukizi kwa mtu mwingne...
Kuna mgogoro umemkumba jirani yetu hapa na ulipofikia anahitaji msaada wa kisheria. Huyu mama ana mtoto wa miaka 6 na Mme wake alifariki mwaka 2016. Marehemu aliacha watoto 5 na wake wawili na...
Naomba kujua hivi sheria inasemaje pale mtu anakuletea mkataba ambao anasema umeusign wewe ukiangalia mwandiko na sign vinafanana kabisa na wako pia kaattach na copy za ID original zako akidai...
Sehemu ninayoishi, Kuna ujenzi wa barabara Ya lami,. Tatizo linakuja kwa wanaotengeneza,, wamekuwa wakikata matairi ya vyombo vya moto ili kuwakomoa madereva wanaopita,,. Wakati hawajatengeneza...
Natanguluza shukrani je sheria zipoje pale unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao wa whatssap na zingine kubandikwa kwenye ubao wa matangazo...
Naomba kufahamu, kususia uchaguzi kwa sababu maalumu ya absence of new constitution in order to have free and fair electro committee, je!! Utakuwa umekiuka sheria gani? Na impact yake ninini?
Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea...
Kuna mgogoro wa ardhi kati ya familia moja, Iko hivi mzee mmoja aligawa ardhi kwa vijana wake wawili, yeye akabaki na sehemu ndogo ya ardhi, baadae mzee yule akaoa mke mwingine na baada ya mwaka...
Habari wakuu,
kuna mdogo wangu mwaka jana mwezi wa kumi alipeleka maombi ya kazi katika kampuni fulani.
Maombi yake hayajajibiwa mpaka leo, lakin mwezi wa sita mwaka huu mdogo wangu alikutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.