Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habarini viongozi ??? Naombeni kuuliza kama kuna ulazima wa kutafuta kibali cha ujenzi katika viwanya vya skwata kabla havijapimwa ?,,
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba wajuzi wa masuala ya fedha na sheria wanisaidie;kwa nini marekebisho kwenye sheria mbalimbali za kodi yanafanywa kupitia finance bills?
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka! Toka makamishna wastaafu mwezi January 2018, mpaka sasa hawajateuliwa tena na mheshimiwa mkuu wa nchi! Kwa hali ya sasa ilivyo, kuna kesi nyingi sana za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu na madogo.! Naomba kujuzwa jambo kuhusu dhamana, hasa ya fedha taslimu. Ipo taratibu ya mahakama kuhusu kuwaachia watuhumiwa wa makosa fulani fulani kwa dhamana ya pesa. Hali hii...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
IGP Sirro kuzuia watu kuhoji juu ya hatima ya Usalama wetu anatumia kifungu gani cha sheria? Je Hatuwezi kufungua Shauri Mahakamani kupinga Makatazo hayo? Mahakama ndio chombo pekee cha...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Mbunge wa kyela Dr. Harison Mwakyembe amekataa kuhojiwa na TAKUKURU kama baadhi ya wabuge wengine walivyohojiwa na taasisi hiyo kwa madai kuwa hizo ni mbinu za kutaka kuwaziba midomo wabunge...
0 Reactions
415 Replies
38K Views
Kuna ndugu yangu alinunua mafuta yanayosadikiwa kuwa ni ya wizi kwani hakua na risiti ilionesha kua mafuta hayo ameyanunua. Alimpatia mfanyakazi wa uwanja wa ndege ili amsafirishie kupeleka kwa...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
A alimshitaki B kwa shauri la madai. Ilipofika siku ya kupanga speed track wakakubaliana kuendesha kesi ndani ya mwaka mmoja tangu siku ya kufungua shauri. Kumbe A akuweka vizuri kumbukumbu zake...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Wakuu, kuna dereva wangu amegonga mtu kaua mmoja na kujeruhi mmoja, sasa huyu dereva kasepa na kunachia msala, nilipoenda polisi askari alinambia nipeleke leseni ya dereva nisipopeleka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Thanks Jesus all is well
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu.hivi kesi ambayo imepelekwa mahakamani kusomwa,na kesi hiyo ikawa inaghairishwa kila Siku ya kusomwa kutokana na uchunguz kutokamilika,huwaga inafikia Mara ngapi kama uchunguzi...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Kisheria, Mahakama kuu inaweza kumtangaza mtu aliyepotea kwa muda mrefu bila kujulikana alipo na jitihada za kumpata kushindikana, kuwa amekufa. Hii inaitwa dhana ya kifo au DEATH IN ABSENTIA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa alienayo au anaejua sheria inayoongelea muda ambao mwalimu anaweza kumuoa aliekuwa mwanafunzi wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fuatilia tafiti iliyofanywa na Mwanasheria Pascal Mshanga kuhusu Sintofahamu ya Kisheria (Legal parable) iliyopo kwenye fedha za mitandaoni na teknolojia inayoziwezesha (crypto currency and block...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Endapo mtu atahukumiwa kifungo cha nyumbani na anaishi chumba cha kipanga hapo utekelezaji wa hukumu unakua je? Mke/mume wanaruhusiwa kuishi kwenye hiyo nyumba au wanatolewa? Mahitaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam, Msaada wadau, nimekuta gari yangu imepigwa fine, license number ni mtu nisiyemfahamu, nimejearibu ku-blast hyo licence namba yake kwenye system nimekuta ana makosa mengine namba zetu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Help please for anyone having material facts or judgement of the case of ANRATLAL DAMODAR AND ANOTHER VERSUS A.H JARIWALLAH ZANZIBAR HOTEL (1980) TLR 31, Help for a material fact link or book...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ikitokea huridhiki na uchunguzi unaoweza kuwa unaendelea dhidi yako na mfano labda uchunguzi huo dhidi yako unafanywa na pccb, je waweza kumlalamikia mchunguzi kwa mwajiri wake? Hasa hasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The ruling class must help all our young people to understand that ours is still a very poor country, that we cannot change this situation radically in a short time, and that only through the...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, waheshimiwa mawakilli wasomi naomba msaada wenu niweze kuitapata hiyo copy ya GN No 559 of 25/09/1964. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Back
Top Bottom