Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Taratibu za kuongeza jina la tatu upoje kwa taratibu zilizopo kwani Nina majina mawili yaliyopo hadi kwenye vyeti vyangu vya academic ,sasa hilo jina la tatu naliongezaje ,msaada!
Habari.
Naomba hapa tuandae orodha ndefu ya sheria zote ambazo zinatumika Tanzania, na viambatisho vyake vikipatikana.
Jina la Sheria. Mwaka. Kiambatisho kama kipo.
1. Sheria ya Huduma ya...
Naomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya.
Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake,
Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi...
Habari ndugu Wasomi wa humu.
Naandika nikiwa jimbo mojawapo la nchi ya China. Ninaomba msaada wa kisheria. Nilikata tiketi na kampuni Emirates mwezi wa tisa mwaka huu ya kuja hapa jimbo nilipo...
Habari wanajukwaa,
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria na nyanja zake kwa ujumla.
Sasa, binafsi ninaomba kufahamishwa/kuelezewa hii kitu kwenu mlio/mnaosoma sheria kwenu ina maana gani...
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa...
Naliandika hili katila jicho la sheria, na kwa malengo mahususi ya kitaaluma, ya kujifunza, na kufunua wigo wa yale tusiyoyajua.
MY DISCLAIMER : sihusiki kwa vyovyote, au kwa namna yoyote na...
Samahani wana jf ninaswali kuna ukweli kuwa mtu akihukumiwa miaka kadhaa kwenda jela kiuhalisia huwa ni nusu ya hyo miaka
Mfano hukumu miaka 30 mfungwa atakaa 15 wakihesabu usiku na mchana??
Na Dkt. Abdallah J. Saffari
MSHITAKIWA ana haki ya kuita na kuwahoji mashahidi. Kwa kawaida ataita wale mashahidi ambao watatoa maelezo mbele ya mahakama ambayo yataunga mkono madai yake ya...
Habari wa kuu natumaini ni wazima wa afya kabisa,
nikienda kwenye mada moja kwa moja ni hivi, kuna jirani yetu hapa bwana ni kijana kamaliza 4m4 mwaka jana,sasa katika harakati za maisha amefungua...
Wakuu nina mpango wa kusajili taasisi ya nusu-biashara ambayo ipo katika muundo wa kufanya
-Training
-Consultancy
-Research
-Auditing
na shughuli zingine katika mnyororo wa uzalishaji mazao kilimo...
Habari wanasheria.
Naomba mnijuze taratibu za ndoa za mitala kuhusu urithi.
Kwa wanawake wanne kila mama ana watoto watatu.
Nyumba zipo mbili kila wanawake wawili kwa kila nyumba.
Mbakwaji anapobakwa na kushiriki tendo kwa hisia, ama kukata viuno au kumkumbatia mbakaji na hadi naye kupata orgasm/kupiga bao,hiyo inamuondolea mbakaji kosa kwasababu mbakwaji alifurahia tendo...
Wanasheria na wajuz wengi tafadharini sana naomba msaada wakisheria.
Ni hivi siku ya juz baada ya mechi ya yanga kulitokea mtafaruku kidogo baina ya mimi na jamaa mmoja ninayemdai pesa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.