Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimeitwa kwenye baraza la ardhi la kata kuhusiana na shauri la mirathi, ipo hivi kuna baba yangu mdogo alikuwa anaumwa, nikampeleka hospitali akapona, baada ya kupona akaitisha kikao cha ukoo na...
1 Reactions
2 Replies
923 Views
Mtu akikutwa anafanya biashara bila lesseni adhabu yake ni nini.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa Hii haina uthibitisho wowote kwamba zitto,member na rostam walikutana wakajadili hali ya siasa Tanzania.it 's public deception...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali wanajamvi naombeni nisaidieni gn.106 labour court rules 2007
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Kuna sheria tulitunga kipindi ambacho tulikuwa hatuna uelewa wa kutosha(wajinga) au zilitufaa kufanikisha malengo ya wakati huo. 1.Sheria ya uzembe na uzururaji. Kwasasa dunia inataka uchumi wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi nafanyaga biashara za Online nina Kampuni na Imesajiliwa Kisheria sasa Nilipata kampuni moja ya kenya (Tanzania ina Makao pia) Ambayo Ukijiunga unaweza ku accept malipo kwa Njia ya Simu na...
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Ni matumaini nyote hamjambo Moja kwa moja kwenye mada, naomba kuwauliza wale MALAIKA wa Tanzania, je mnajua kazi ya Mwanasheria au Wakili?;?? Kama hamjuai kazi zao ni bora mkakaa kimya kuliko...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna Mama mjane amefungua kesi ya madai baraza la ardhi la kata dhidi ya mtoto wa mme wake ambae ni marehemu. shauri lenyewe lipo hivi, huyu mama aliolewa na huyo mme wake akiwa Mzee sana...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Wataalamu wa sheria shikamoni/wengine habari ya wakati huu tena. Hapa chini kunatangazo nimelipata huko Facebook limewekwa na mtu anaendhaniwa kwamba anawadhifa katika mtaa ,naomba tujadili hili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana bodi naomba kama kuna mtu ana pdf ya sheria ya kulasimisha makazi naomba aniwekee hapa..naihitahi kuliko wakati mwingine wowote..asanteni ndugu zangu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajuzi wa sheria tujuzeni mnadaina na mtu mkapelekana mahakamani mkandikishiana mbele ya hakimu kuwa kila mwezi mdaiwa alalipa kiasi furani cha pesa kwa mda wa mwaka mmoja ndio deni likaisha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Msaada hapo wadau... Kuna mtu anaishi na mke wa mtu wakati mume wa mwanamke yupo kikazi mkoa mwingine.. Na hawajaachana kwa talaka. Japo walikuwa na mgogoro kidogo
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima yenu ndugu zangu humu ndani.... Mimi namdai mtu pesa yangu kwa muda mrefu, amekataa baadhi ya pesa nakukubali kias kidogo cha pesa kati ya zile nilizomkopesa. Mchezo wenyewe nihuu...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Haya mambo yanaweza kuangamiza maisha yako ndani au nje ya taifa lako. Kulisaliti Taifa lako nakutoa taarifa muhim kwa maadui wa taifa au wageni Kuvujisha siri za taifa ukiwa ndani ya vitengo vya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tembea uone , jamani dar kweli ni kubwa na mgogoro huu nimeupata sehemu fulani hebu pata mkasa ulivyo Mzee athumani mwinyi mvua ( sio jina halisi) aliuza shamba lake la heka mia moja kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejitahidi kufanya utafiti na kupitia sheria ya mapitio ya katiba (mabadiliko) 2011 “the Constitutional Review (Amendment) Act, 2011”, sheria ya mapitio ya katiba, 2011 “ the Constitutional...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Law
Sorry m mwanafunz Wa sheria.first year so i need ur help on the meaning of law with references from different books
0 Reactions
1 Replies
520 Views
habarini wana janvi! Mimi ni mhitimu katika shule frani hivi mwaka ulio pita sasa pale shuleni second master alikua na mambk ya ajabu sana kama vile kutengeneza uadui na wanafunzi kutunyang'anya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom