Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
jamani nina mapendekezo na pia nina maswali, nahisi kila mtu atakua anajiuliuza au alisha wahi kujiuliza pia... inawza kuwapia imeshaongelewa hapa...(JF) ....
swali langu ni kwamba , hivi...
Akiri kosa na kuomba radhi
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Concervative bwana David Cameroon, leo imebidi aombe radhi baada ya kuonekana wazi anafunja sheria ya barabara ambayo...
Leo huko DSM high court serikli ilikuweka pingamizi tena kutaka ku appeal uamuzi wa jana wa Jaji Rumanyika. Hivi hii sheria bado inatumika au vipi. Stanley Mitchell
Quote: "Prior to 14th...
Leo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili...
Ni miaka mingi imepita kama sita hivi.Kwenye familia ya Baba yangu kulitokea ugomvi kidogo.Mdogo wa baba wa mwisho alienda kwenye shamba la kaka yake akachuma mazao yasiyofika hata thamani ya elfu...
Nisipoteze muda niende mojakwamoja kwenye maada
Hivi uki oa mwanamke ambaye ameachika na amezaa watoto na akawaacha kwa baba yao
Baada ya muda akaolewa na kwenda kuanza maisha mapya na mungu...
Nimesikia mara kwa mara kwamba Mahakama Kuu hutoa Hukumu kulingana na Sheria (wana bold spirit) lakini Mahakama ya Rufani imekaa kisiasa zaidi (wana timid spirit na hawataki kabisa kufungua...
Wanajamiiiii habarini
kama heading inavosema,nilipenda kumjua uyu bwana jebra kambore kwa undani kama mwanasheria.Nilipenda kujua nilipi haswa ameishalifanya kama mwanasheria ambalo lilimfanya...
Hellow learned fellows,
I am a respondent in an Appeal to The High Court (Labour Division) representing myself, where the Appellant is represented by a professional Advocated.
What bothers me...
Mada inajieleza.
Hivi kama unadaiwa bill, na bahati mbaya uko kwenye mchakato wa kulipa, ni sheria IPI inayowapa mamlaka ya maji kuja kukata maji na kuchukua mita bila mtu yeyote kuwepo na mita...
Nilishinda kesi ya jinai katika Mahakama ya mwanzo (kuvunjiwa na kuibiwa). Baadae nikashauriwa nifungue kesi ya madai ili nilipwe haki zangu yaani pesa inayolingana na thamani ya vitu...
Habari zenu wakuu,
Mi nimeshindwa kuielewa hii kodi,
Huu mwezi wa 11
nimefanikiwa kuanzisha biashara yangu sasa nimefuatilia kila kitu na kwa levo yangu kodi nikaambiwa ni 150000 ambayo unaweza...
Nilikuwa nafanya kazi kampuni S nilikaimishwa nafasi 2 za uongozi (meneja lkn pia mkuu wa idara) kumbuka mm nilkuwa mfanyakazi wa kawaida, likaja gari la mafuta lenye Lita 18,000 lakini invoice na...
Wadau
naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama...
Wakuu habari!! Mwenzenu kuna Boss kanifungulia kesi ya kumwibia hela ofisini kwake kitu ambacho si kweli kwani mimi siko ofisini toka mwezi wa 4. Ilikuwa hivi nilkua nafanya kazi katika taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.